Clouds FM na Kuipromote CCM,TCRA mpo wapi?

Clouds FM na Kuipromote CCM,TCRA mpo wapi?

Mimi nikisikia nyimbo za CCM huwa ni burudani ya uhakika kwangu.Clouds endeleeni kupiga nyimbo za CCM wengine tunaburudika barabara.Mimi ni mpenzi wa nyimbo za CCM sipendi ndombolo wala zile za kufoka foka.Nipeni raha na burudani CLOUDS naomba mpige sana nyimbo za kuburudisha za CCM HASA napenda sana ule wimbo wa NAMBARI ONE EEEEEEEE NAMBARI ONE NI CCM!

Hahahahahahahahahaaaabh. Kusema kweli masong ya CCM huwa yametulia kinyama. Ccm kama kundi kusema kweli wanawafunika wasanii kibao kwa kutoa masong ya ukwe'eeheeeh!!!
Hata akina niki mbishi na vinega pale wanapotezwaga ile mbaya.
 
MENGI akiwabeba wachaga wenzie wa chadema inakuwa halali lakini Ruge na Kusaga wakiwabeba CCM inakua nongwa? Hizi nyeg.e za uchaga(ukabila) sijui zitawapeleka wapi nyie machoko wa ufipa.
 
Mkuu vipindi huwa vinanunuliwa na taasisi so sio tatizo kama wamenunua,ila kwa hii clouds kile kipindi sio cha kununua,tofautisha vipindi vya warioba(vipindi maalimu,havipo timely basis) kama hiko cha clouds kila jumamosi.

Si lazima kununua hata radio au tv ZAWEZA TOA DONATION BURE AIR TIME!!!! WAWEZA OMBA NA UKAPEWA MUDA WA BURE!!!
 
Hicho ni kituo binafsi usiwapangie chakufanya labda uoneshe wamevunja sheria gani!

Nyimbo za CCM ni sehemu ya burudani kosa liko wapi? angepiga za chadema unge lalamika namna hii? hatuja kulazimisha kusikiliza Clouds Fm na wala usipo sikiliza hupunguzi chochote.
 
Hawajifunzi kwa Juma Nature, hawajifunzi kwa akina Masanja mkandamizaji kwa kukubali kutumika na Tawala kilichowapata?

Pamoja na kujiunga na CDM Afande Sele ana maendeleo gani ya kumzidi Juma Nature au Masanja Mkandamizaji???
 
Ata nyimbo za Prof Jay na Afande Sele hawazipigi tena sababu wameenda chadema.
 
Na mtu wao January wataishia tu kuota eti watampeleka ikulu.
 
sioni tabu ya Clouds kupiga ule wimbo wa Komba....mm tabu ninayoipata ni ujumbe uliopo kwny ule wimbo! Chama kipo kwny hali mbaya sana makada hawana uwezo wa kuona mbali....nakuhakikishia wimbo ule hautatumika kwny hizo kampeni sababu ya maudhui yaliyomo mle...eti KOMBA na timu yake wamekaa chini na kupasua vichwa na kuimba...."ccm ni ile ile" do u think utabamba kwel na hizi kashfa zao?...kwahyo ni ile ile inayoiba kila kukicha...basi hakuna haja kuwachagua kabsa kama ni ile ile....Stupid idea.
 
Pamoja na kujiunga na CDM Afande Sele ana maendeleo gani ya kumzidi Juma Nature au Masanja Mkandamizaji???

Juma Nature na masanja wamemzidi kwakuwa wanauza madawa ya kulevya hakuna anayewauliza.
 
wamepewa pesa hao hamuwajui ccm,??? hata tcra hawawezi kuchukua hatua yoyote hapo
 
hawa jamaa wanapata dili nyingi sana kutoka CCM, mikutano mikuu yote ya CCM vyombo vya matangazo vinatoka clouds, wanapata hela ndefu kutoka CCM nadhani wanalipa fadhila...
 
Wakuu nasikia mmiliki wa hiyo redio na clouds tv ni rugemalila ni kweli ama..
 
Hiyo redio ni ya waramba miguu ya viongozi na inabebwa na TCRA. Kwa kosa kubwa kama lile la kuhamasisha vitenda vya kishoga ilitakiwa wafungiwe na sio kulipishwa fine...

Labda memba mwenzetu na mtangazaji wa Clouds Fm Issa Mohamed anaweza kutupa jibu kulikoni wameanza mapema hivi.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo redio ni ya waramba miguu ya viongozi na inabebwa na TCRA. Kwa kosa kubwa kama lile la kuhamasisha vitendo vya kishoga ilitakiwa wafungiwe na sio kulipishwa fine...

Labda memba mwenzetu wa JF na mtangazaji wa Clouds Fm Issa Mohamed anaweza kutupa jibu kulikoni wameanza mapema hivi.
 
Last edited by a moderator:
Umofia kwenu wana JF,
Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu hiyo radio kutumikia ccm,leo nikiwa kwenye daladala,nimesikia kwa masikio yangu,clouds fm ikipiga nyimbo za kampeni za ccm kujiandaa na uchaguzi mkuu, TCRA naomba ufafaunuzi kutoka kwenu,nakumbuka Ruge mkurugenzi wa clouds alisema radio yao wameisajiri kwa malengo ya burudani,sasa iweje kwa sasa wawe wanafanya promotion live za chacha cha ccm au wameupdate leseni yao? Najua chama wanaweza wakanunua kipindi kwa ajili ya malengo ya kufikisha ujumbe katika radio yeyote lakini kile kipindi kilikuwa sio cha chama ni cha kila jumamosi.

Nilidhani kuwa nitapelekwa mabwepande peke yangu kumbe tuko wengi! Kuna uzi humu umefungiwa na mods ulikuwa unahusu jambo hilo, sijaelewa ni kwanini wameuondoa! But nilifikiri nimeliona peke yangu kumbe wenye ufahamu tuko wengi! Clouds wanafanya kazi ya kupotosha vijana, kuwaua kifikra waendelee kuwa wajinga kwa kuwatumbukizia mambo ya ujingaujinga!
 
Last edited by a moderator:
Mimi nikisikia nyimbo za CCM huwa ni burudani ya uhakika kwangu.Clouds endeleeni kupiga nyimbo za CCM wengine tunaburudika barabara.Mimi ni mpenzi wa nyimbo za CCM sipendi ndombolo wala zile za kufoka foka.Nipeni raha na burudani CLOUDS naomba mpige sana nyimbo za kuburudisha za CCM HASA napenda sana ule wimbo wa NAMBARI ONE EEEEEEEE NAMBARI ONE NI CCM!

Aaamen...!
 
Back
Top Bottom