Clouds FM msaidieni Minna Ally

Clouds FM msaidieni Minna Ally

Mnamuandama sana hadi mnakera.Sasa atajifunzia wapi kama si hapo? kwani kuna aliyezaliwa anajua?
Ifike wakati tujifunze kuvumilia wengine kama nyie mnavyopenda kuvumiliwa...
Mnakera sana..mnataka akajifunzie wapi? afukuzwe kazi ili akose chakula mridhike?
Huyu dada hana shida kama mnavyojaribu kumkatisha tamaa..
Amina Ally ukikata tamaa na kuacha kufanya unachofanya itakuwa dhambi.
 
Anakipindi chake nimekisahau jina alikuwa anafanya poa sana kwenye kile kipindi ila kwenye amplifaya ndio anachemka
 
Kwa kweli kilipokuwa kimefika kipindi na Millard Ayo,na sasa hasa anapokuwa hayupo Millard kweli,kabisa hajiwezi kabisa,kwanza hana ueledi mpana wa mambo,pia hajui wapi awe serious ama wapi awe ki entertainment zaidi,kama mnalazimika kuwa naye mpeni fair feedback msifariji ana haribu na nyie mtakuwa kama hamjitambui kuto mkosoa uandishi ni kukosoana ili kuboresha.Mawazo yangu kwa nia njema ya kujenga kama shabiki pia wa kipindi hicho.
Weka picha yake tumthamini na uko.
 
Kipindi cha amplifaya kinafaa watu kama.
1.Askofu TZA.
2.Musa husein.
3.Maiko lukindo a.k.a Informer
Mina Ali anachemka sana hadi anaboa.
Labda kidogo, wangempa hata yule msoma magazeti wa Millarsd Ayo Alice Tuppa. Huyu Minna yuko shallow sana
 
Amina ally ana makelele sana na anajiharibia kuongea harakaharaka kama anarap. Yule anafaa kwenye voice over matangazo kama niambiee.
Ncha kali yuko poa sema siku hizi amewekwa ndani na jimama moja madale naona Dinna marios kashindwa kumpetiti. Nawaonaga sana Kunduchi beach hotel.
 
Kwani ameachana na Dina marios!!!!
 
Tokea tuliponfunda hapa juu ya kuchekacheka hovyo naona kajirekebisha....ila bado hakimudu kipindi kabisa.
 
Mnamuandama sana hadi mnakera.Sasa atajifunzia wapi kama si hapo? kwani kuna aliyezaliwa anajua?
Ifike wakati tujifunze kuvumilia wengine kama nyie mnavyopenda kuvumiliwa...
Mnakera sana..mnataka akajifunzie wapi? afukuzwe kazi ili akose chakula mridhike?
Huyu dada hana shida kama mnavyojaribu kumkatisha tamaa..
Amina Ally ukikata tamaa na kuacha kufanya unachofanya itakuwa dhambi.
Sasa ndiyo ajifunzie masikioni mwetu?Tutamwandama tu...hamna namna.
 
Kwa kweli huyu binti sio kwamba watu wanamuonea, anatakiwa kujirekebisha kidogo kwenye uendeshaji wa hicho kipindi. Anazidisha jokes mpaka anaboa sijui ni utoto! wakati mwingine Millard Ayo huwa anajaribu kumcontrol lakini wapi!
 
Back
Top Bottom