CLOUDS Fm, Mmezidisha matangazo mpaka mnaboa sasa!!!

CLOUDS Fm, Mmezidisha matangazo mpaka mnaboa sasa!!!

kuna kile kipindi cha milard ayo ni fully matangazo,kilishaniboa siku nyingi
 
mna lalamika nini sasa kwani redio ndo hiyo tu?redio ya hovyo hiyo kwa walio dar mbona radio kibao?au mnapenda kusikiliza akina hando wanavyotukana watu na kutetea mashoga wenzao
 
mna lalamika nini sasa kwani redio ndo hiyo tu?redio ya hovyo hiyo kwa walio dar mbona radio kibao?au mnapenda kusikiliza akina hando wanavyotukana watu na kutetea mashoga wenzao

Kwani Hando ni shoga??? Au ndio kuchafuana
 
dah wanajiona miungu watu katika burudani ila mimi naona kama wanaenda wakipwaya leo tena ya dina utafananisha na hii ya leo jahazi la Gadner na Kibonde siyo hili la leo wanatakiwa wajitathmini alafu warekebishe makosa hilo la matangazo na nyimbo kutawala kipindi mimi pia nimeliona unakuta kipindi ni 2hrs nyimbo na matangazo zinachukua 90 hapo kipindi kinakuwa hakina maana unakuta mtu una vitu vingine vya kufanya inabidi uache kusikiliza kipindi ndivyo jinsi walivyotupoteza sisi wengine tuko East Afr radio
 
Ndo nn hii clouds?

images
 
Kuna aina mbali mbali za matangazo, ile unayosikia mtangazaji anakolezea inaitwa Chombeza na bei yake iko juu zaidi ya hii ya kawaida na inategemeana na kipindi pia.

Sasa chombeza zikizidi ndo kero inapoibuka, nadhani hata hao watangazaji hawapendi basi tu.
 
Kwenye advertising, kuna kitu kinaitwa "presenter mention" yaani mtangazaji anataja/anagusia/ataongelea tangazo fulani na bei yake ni more expensive than a recorded advertisement especially kama ni a popular presenter at prime time.
 
Amplifaya mpaka wimbo wa kwanza wa kipindi una mdhamini wake.....ila ndo hivyo jamaa wanapiga pesa...
 
power breakfast ndio balaa. matangazo kipindi kizima

unakuta wanagombania kurudia rudia tangazo - akitoka hando, barbra, james - mbwiga ndo anapigwa pembeni. inawezekana nao hupata ka %. kipindi kimekuwa hovyo sana
 
Back
Top Bottom