Clouds FM mmezidi kamali punguzeni

Adlo

Senior Member
Jul 15, 2022
197
238
Habari Wana jukwaa kwenda na mada twajwa happy juu, Ani clouds FM wanazidi kuliharibu taifa na kutengeneza taifa la wavivu wanaoamini katika shortcut, watu wanazidi kuamini katika ku download hela.

Nimeshangaa kusikia Hadi Joseph kusaga (CEO ) Nate kupita na fursa mala toa buku kwenye happy birthday ya boss Joe akupeleke Dubai wizi mtupu.

Mamlaka husika ingilieni Kati maana Kila media imeanzisha taifa linateketea hasa vijana hizi redio betting no hatari watu wanazidi kuamini katika ku download hela na kupuuzia kazi, hakuna ela ya bure jamani tufanye kazi.

Clouds kwanzia saa kumi na mbili mpka saa sits usiku ni kamali tu, hadi nimeacha na kusikiliza redio ni kero,Naomba kuwasilisha karibuni kwa michango shukrani
 
Kamali inatengeneza taifa la wavivu, kwa sababu mtu akiwa na buku ataona Bora abet apate laki moja kuliko kufanya kazi
Nani huyo? Hiyo huchezwa kwa ziada tu nasio Kama chanzo Cha mapato. Ukitaka kuamini nikweli emu tuma uone Kama utapata,, ingekuwa kila mtu anapata ndipo ungewwza kusema watu wanaitegemea kupata kipato na wanakuwa wavivu
 
Huwa najiuliza kipindi kimoja kina watangazaji mpaka 6 wanawalipa nini? mpaka MA Dr , Wana sheria, Wanamziki wamekimbilia hapo sijui kuna I I clauds , labda hizo kamari zinawalipa Sana.
 
Unaposema linatengenezwa taifa la wavivu ni lini Tanzania halikuwa taifa la wavivu? Na je hiyo pesa wanayocheza hiyo kamari wanaitoa wapi?
 
TCRA watoe muongozo, vituo vya habari vimezidi mambo ya kamali. Upo unataza habari, ghafla cheza ushinde. Sasa watoto wanaanza kukuuliza habar za kamali, siku ukiwa huna hela watakwambia cheza ushinde dadii
 
Unaposema linatengenezwa taifa la wavivu ni lini Tanzania halikuwa taifa la wavivu? Na je hiyo pesa wanayocheza hiyo kamari wanaitoa wapi?
Uvivu wa mtu unatokana na njia nyepesi za kufikia mafanikio, kipindi Cha nyerere chini ya sets ya ujamaa Tanganyika aikuwa na watu wavivu, maana Kila mtu aliamini katika kujiletea maendeleo kwa kazi, siyo Kama Sasa utasikia msaada kwa hisani ya JAICA, UN, n.k
 
Kamari sio chanzo Cha mapato Bali kwaajili ya kujifurahisha Sasa wewe utasemaje inatengeneza Taifa la wavivu
Kwa nini usiende kujifurahisha kucheza bao au draft?? Kamari inaua vijana wa taifa hili.
 
Kamali inatengeneza taifa la wavivu, kwa sababu mtu akiwa na buku ataona Bora abet apate laki moja kuliko kufanya kazi
Sasa kazi zenyewe ziko wapi? Alafu huoni kwamba wanachangia pato la taifa
 
Back
Top Bottom