Clouds FM kuna tatizo la usikivu katika mitambo yenu!

Clouds FM kuna tatizo la usikivu katika mitambo yenu!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,948
Reaction score
9,465
Katika kitu nimebaini ni juu ya Radio ya Clouds FM wanatatizo la usikifu kuwa chini ya kiwango mawimbi hayaendi vizuri kama nikuongeza repeaters fanyeni hima ndo hilo.
 
Back
Top Bottom