Amplifier siku hizi ni matangazo tuu...Naona E-Fm wanatuchezea akili na hawa watafiti wao. hivi jahazi na ubaoni ipi inasikilizwa zaidi? plus ule muda wa amplifaya
Mapenzi ya radio yanatokana na vipindi husika! Kwa mfano kama mimi, Clouds nackiliza PB, XXL na Jahazi! Amplifier ni kipindi kizuri ingawaje kinaboa matangazo yasiyoisha!DAIMA SIJAWAHI KUZIELEWA HIZO REDIO MNAZOSHABIKI,ZIMEJAA MAJUNGU,UMBEA NA MIPASHO KUANZIA ASUBUHI HADI JIONI,BILA KUWEKA UBINAFSI,UPENDELEO WALA UJUAJI,REDIO BORA KWA SASA AMBAYO UNAWEZA KUSIKILIZA KITU UKAELEWA MANTIKI NA MAANA YA UNACHOSIKILIZA NI RFA NA RADIO ONE,HIZO REDIO ZINAKUPA REPORT KILA MUDA BILA KUSAHAU BURUDANI,HIZO NYINGINE NI WABANA PUA TU NA MA..S..GA NDIO WAMEJAZA HUKO
Clouds ilikuwa Bora sana,ila imeharibiwa na majungu na mipasho ya kina Dauda na Mbwiga. Mtu kama Ibrahim Masoud sio wa kumuachia aondoke. Sasa ndio anaing'arisha Efm. Na hilo Jahazi siku hizi limebaki jina tu. Kipindi pekee Clouds ni Emplifire cha millard tu. E fm wako vizuri wanachotakiwa ni kujitangaza na mikoani kwa sasa. Namimi nakubali 93.7 Huu mchezo hauhitaji hasira.