Clouds fm inaliangamiza taifa

Clouds fm inaliangamiza taifa

isipuuzwe nia yao -- kuwafagilia magamba ifikapo 2015!! wamefanikiwa kuwa na usikivu mkubwa karibu kila pembe ya nchi hii -- inaelekea ule ukomo wa masafa haupo. Wanapasha kwa ku brain wash watu wawe vijana au wazee. kuna mji tena wa chadema redio hii imezimeza local fm radio -- nafikiri tuanzie hapo -- kuwatukana hakusaidiii.
 
Yasipuuzwe haya mambo!. Siku moko watakuja kulipa
 
Bora ye2 hcho kiredio hakiskiki A town. Si na Radio safina yetu! Nalog off, naenda kibaruan.
 
Vidume vya Clouds naskia vinapumuliwa visogoni, a.k.a wakameruni
 
Clauds fm ?? Mim siwalaum kwa yale yoote wayafanyayo bali nawalaumu wale woote waisikilizayo.

Redio imejaza watangazaji mashoga na waathirika.

Mfano.Mtangazaji kama KIBONDE kwanza ni muathirika na elimu yake ya form 4 alipata division four nasikia alipata D moja tu.Sasa unafikiri mtu kama huyo anajipya lipi??
 
Sifa kubwa ya watangazaji wao ni kuwa LAZIMA ujue kubana PUA
 
Ukisikiliza Clouds Fm kwa muda mrefu lazima uwe punguani..kuna watangazaji pale uwa nashindwa kuelewa wanafanya nini;
Bonge wa PB
Gerald Hando
Barba Masoud
PJ
Kibonde nk

Kuna redio nying za kusikiliza. Tune TBC Taifa waache Clouds wapete. Nawakubali
 
wee nanii bado unawasikiliza hawa wafu?
Huyo ameizindua jamii...kweli yupo mdogo wangu alitembelea mikoa ya Bongo...alisema vijana wengi huamin na kujisifia waisikiapo Hiyo station wajiona ndio wajanja kuliko wengine ...inapelekea wengine waige wenzao.
Kweli haina kuelimisha zaid?
 
Mhhhhh nyie wafuasi wa chadema si muanzishe redio yenu! kwani lazima muasikilize clouds. Aaah mnanichosha na malalamiko ya clouds kila siku hapa Jf.
We aunt taratibu!
Humu umejiunga mwaka gani?
Japo naheshimu mawazo yako!
 
Back
Top Bottom