Clouds FM hili game: Kwa Nini watu walionunua tickets wamebakia nje na tickets zao na uwanja umejaa??

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,288
12,789
Nawasogezea swali Hilo wananzengo maana Jana Kuna watu walibaki nje na tickets zao baada kutangazwa kuwa uwanja umejaa.

Je hao walioingia ni waakina Nani na waliobaki nje ni wakina Nani na Nini kilitokea??
 
Back
Top Bottom