Clouds FM, hiki mnachofanya ni kampeni kwa CCM

Wadau, kuna tangazo moja linazungumzia watu na timu zao katika siasa, ambapo utakua unapokea updates juu ya wagombea wako wa urais kupitia simu yako ya Whatsapp.

Katika tangazo hilo, Magufuli anasikika akisema eti kiongozi makini anatoka ndani ya CCM, huku Lowassa anasema tu eti Peopleeez.!

Hivi hapa kuna nini? Kama siyo kumpigia kampeni fundi gereji? Au nyie wadau mnasemaje?
Tatizo lao wanafikiri baba Rizi ndo anaingia madarakani, hawajagutuka kuwa ndo kashamaliza.
 
Wakuu Radio CloudsFM ina promo ya tangazo lao la kipindi chao kipya kuhusu siasa kuelekea uchaguzi mkuu.

Kwenye tangazo lao la kipindi hicho kipya wameweka sauti ya Magufuli akiongea kwa zaidi ya sekunde kumi akisema "maendeleo ya kweli yatatoka kwenye kiongozi anayetoka CCM"

Alafu naweka sauti ya Lowassa anasema "Peopleees zungusha zungusha"

Moya kwa moja promo hii ni kampeni ya kwa CCM maana mgombea wake ana nadi sera za chama au kujipigia debe, kama wako huru na siyo kampeni kwa ccm , walipaswa kuweka sauti ya Magufuli akisema "CCM oyeee" ili kuendana na anachozungumza Lowassa kwani Lowassa anatoa salamu ya chama na Magufuli ana nadi sera za chama.

Hili ndilo bao la mkono alilosema Nape.

Huo ni upuuzi, hata mimi nishaliona hili haiwezekani ni fitna za wazi.wasubiri kimbunga kiwapitie
 
Clouds maboya Sana na clouds sio chombo huru kinaisapoti Ccm kwa nguvu zote nimesikia hata wasanii wamepigwa mkwara waisapoti ccm la sivyo watabaniwa mambo yao
 
Back
Top Bottom