Clouds FM, hiki mnachofanya ni kampeni kwa CCM

Clouds FM, hiki mnachofanya ni kampeni kwa CCM

gwambali

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
230
Reaction score
76
Wakuu Radio CloudsFM ina promo ya tangazo lao la kipindi chao kipya kuhusu siasa kuelekea uchaguzi mkuu.

Kwenye tangazo lao la kipindi hicho kipya wameweka sauti ya Magufuli akiongea kwa zaidi ya sekunde kumi akisema "maendeleo ya kweli yatatoka kwenye kiongozi anayetoka CCM"

Alafu naweka sauti ya Lowassa anasema "Peopleees zungusha zungusha"

Moya kwa moja promo hii ni kampeni ya kwa CCM maana mgombea wake ana nadi sera za chama au kujipigia debe, kama wako huru na siyo kampeni kwa ccm , walipaswa kuweka sauti ya Magufuli akisema "CCM oyeee" ili kuendana na anachozungumza Lowassa kwani Lowassa anatoa salamu ya chama na Magufuli ana nadi sera za chama.

Hili ndilo bao la mkono alilosema Nape.
 
Mi mwenyewe nilishashtukia, yani ni ka vile lowasa kasema neno hilo moja tu tangu aanze mchakato wa ugombea urais.

hapana siyo kwele hata kidogo kuwa lowassa amesema neno hilo hilo tu.
 
mkiwamaliza kuwasema clouds, nendeni na ITV pia, wao habari zao khs ccm huwa ni zile mbaya mbaya tu
 
Wakuu Radio CloudsFM ina promo ya tangazo lao la kipindi chao kipya kuhusu siasa kuelekea uchaguzi mkuu.

Kwenye tangazo lao la kipindi hicho kipya wameweka sauti ya Magufuli akiongea kwa zaidi ya sekunde kumi akisema "maendeleo ya kweli yatatoka kwenye kiongozi anayetoka CCM"

Alafu naweka sauti ya Lowassa anasema "Peopleees zungusha zungusha"

Moya kwa moja promo hii ni kampeni ya kwa CCM maana mgombea wake ana nadi sera za chama au kujipigia debe, kama wako huru na siyo kampeni kwa ccm , walipaswa kuweka sauti ya Magufuli akisema "CCM oyeee" ili kuendana na anachozungumza Lowassa kwani Lowassa anatoa salamu ya chama na Magufuli ana nadi sera za chama.

Hili ndilo bao la mkono alilosema Nape....

Samahani mkuu, kwani Lowassa ana sera? Maana sijasikia sera yake hata moja zaidi ya kuiponda CCM tu.
 
Kumbe watz tumeamka ..nilifikiria hivyo pia..hawa jamaa wanaonyesha mahaba ya dhati kwa CCM..pia hata habari za ukawa zinatangazwa sio km zinavyostahili..mfano mwanza hawakuonyesha lile nyomi..walionyesha baadhi ya wana ukawa lkn haikua rahisi kusikia wanachokisema as sauti ilikua very poor..nadhan wanatumika kuhujumu UKAWA..u don't need to hold shahada ya uzamivu to realise that...
 
Hili tangazo haliko fair kabisa...clouds badilikeni
 
kama ccm wanahabari mbaya ITV watoe wapi habari nzuri za ccm?kama ccm kila siku rushwa ndani ya chama na kuhama kwa wanachama.
 
Hilo tangazo ni dhahiri shairi linatumika as promo for ccm
 
Ukawa Mbna Mnakua Kama Mna Wivu Afu Usiohata Na Mantiki,hv Saut Ya Lowassa Isingesikika Kabisa Mngesemaje?Mbna Mnakua Na Hofu Za Kipuuzi?Gazet La Uhuru Limemwandika Lowassa Wk 2 Mfululizo Mkaanza Kejel Ooh Wamnadi Mtu Wao Magufuli,sasa Hv Tangazo Lipo Fair Saut Zote Znaskika Bado Mnalalamika Halipo Fair What Is Wrong Wth You?Ndo Mmepanic Au?
 
Waungwana hivi Clouds FM ipo maana sijaisikiliza long time, Frequency ya 88.1 napata East Africa redio
 
ninyi mna mwongelea bwana joseph kusaga na ruge?
Hawa ni walamba miguu wa ccm.niwa nafiki sana hawa watu. Kipindi lowassa yupo ccm hawa hawa walikua kila siku lowassa lowassa lakini leo lowassa kaamia chadema imekua nongwa kwao sasa wanajikomba kwa magufuli.

Mimi uwaga siwapendi watu wanafiki kama hawa hata watangazaji wao wamesha wa ambukiza hiki kitabia, wakina harson kamoga na samwel sasari kile kipindi chao cha 360% kimekua ni umbea umbea unafiki mtupu,

ngoja mzee wa maamuzi magumu aingie ikulu utawaona tena wanageuza mwelekeo na kutaka kumwandalia dhifa ili kujikomba komba,
 
Clouds wasiachwe wafanye watakavyo,wachukuliwe hatua kali sana...sheria mkononi......kule burundi walipiga moto kituo
 
Kumbe watz tumeamka ..nilifikiria hivyo pia..hawa jamaa wanaonyesha mahaba ya dhati kwa CCM..pia hata habari za ukawa zinatangazwa sio km zinavyostahili..mfano mwanza hawakuonyesha lile nyomi..walionyesha baadhi ya wana ukawa lkn haikua rahisi kusikia wanachokisema as sauti ilikua very poor..nadhan wanatumika kuhujumu UKAWA..u don't need to hold shahada ya uzamivu to realise that...

achaga upumbavu saut kuwa very poor kuna many thngx vinasababisha sio hoja ya kuja nayo nakujtamba et wanahujumu ukawa,ni wapumbavu kama nyie mnaoweza kuja na hoja finyu kama hz
 
Matangazo ya clouds fm yana lengo la kumchafua lowassa...wapigwe marufuki kuandika,kutangaza habari zozote za mgombea wetu.Maana imeripotiwa kuwa wameweka kipindi sasa mwanzoni magufuli yeye anatangaza sera wakati lowassa yeye anasalimia salamu ya chama......kama sera wote watangaze na kama ni salamu maguli naye aseme ccm oyeeee.

Hizo ni hujuma na msidharau hujuma hizo.................nguvu ya umma ifanye kazi leo leo......
 
Back
Top Bottom