Clouds fm haijatajwa msiba wa Albert Mangwea

wewe sio mkweli......adam na wazungumzaji wengine wametaja CLOUDS MEDIA GROUP.......clouds fm imo humo clouds media group......

Atajuaje na kidhungu (Kizungu) hakijui ina maana masikio yake yalitega clouds Fm.Alivyosikia media Group akadhani sasa ni kitu kingine shule inasaidia sana jamani,
 
wewe bado haujawa serius na maskio yako, yule msemaji wa familia ya mangwea hakuna mahala alipoitaja hata io clouds media, achilia mbali kuvitaja vituo vingine vya radio,

Ni mzima kweli wewe.Au ulikuwa unasikiliza RADIO MBAO.Imetajwa sana na wengi tumesikia kama hutaki andamana!
 
jamani tupunguze chuki clouds ndio waliosafirisha mwili na ndio waliofunga steji na sound mbona kwa hili hamuwapi sifa yao
huyo mimi naona tumpuuzie anataka wote tuonekane majuha na kuendelea kulumbana ni kama kumpa kichwa tuendelee na mambo ya maana.Hata kama unachukia kitu basi iwe kwa point na si kwa upuuzi kama huu.Wametajwa tena sana.Halafu hata kama anakazania hawajatajwa amesikia wenyewe wakilalamika!Empty mind bwana.Kazi ipo.
 
Clouds Manina zao wakati Ngwea yupo hai walikuwa Hawapigi Nyimbo zake kafa ndio wanajifanya wanamfagilia saana.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ndio maana AFrika maradhi na vifo kila siku vinaongezeka!! Hivi wewe raia wa kawaida ambae hujawahi kupeleka tangazo redioni hata siku moja halafu unaichukia Clouds, unazani unawapunguzia nini kama sio kujitia stress zisizo na msingi?! Najua kuna wengine watasema hiyo Clouds ipo juu kwa ajili ya wasikilizaji, but whether you like or not, Clouds inachukiwa na wana-JF pekee ambao wengi wao ni wale wanaotaka kuchanganya siasa na burudani!!! Pamoja na some JF members, wengine wanaoichukia Clouds ni wasanii waliochuja ambao kila wanapochuja lawama wanazipeleka kwa Clouds!! Kutokana na upuuzi wao, hawaamini kwamba watasikika hadi nyimbo zao zipigwe Clouds!!! Yaani wasanii wa kibongo wapo tayari nyimbo zao zisipigwe radio zote lakini zipigwe Clouds, na zisipopigwa huko, NONGWA!

stupid,senseless,shit,nonsense,un sounded mind,un aware, ----in shit,----in pumba?!sasa hapa umezungumza nini sasa??
 
stupid,senseless,shit,nonsense,un sounded mind,un aware, ----in shit,----in pumba?!sasa hapa umezungumza nini sasa??
Hakuna kitu kibaya kama kuwashwa huku ukijaribu kutafuta wa kukuwasha kwa nguvu!! Kama unawashwa tafuta waf.iraji coz' mie siongoni mwao! We huwezi kuibuka from nowhere halafu unaanza kutukana watu bila, ch'ko mkubwa! tafuta wa kuwaletea ucho*ko wako!
 
unamzulumu mtu...halafu akifa unaenda kurusha live inasadia nini sasa...? angalia wanavyoangaika na JD...bint wa watu kajitahidi wao wanampeleka mahakamani ya nini...?
Any lesson from this long ago event?
Clouds! Enzi za kudeka ziliishia utawala uliopita.
 
Back
Top Bottom