exalioth JF-Expert Member Jun 22, 2016 2,190 3,685 Jun 22, 2017 #1 Hii inahusu redio ya watu clouds fm. Geita hatuwapati kabsa inakata kila mara, ni miezi miwili sasa tatizo hili, Mnapatikana usiku tu, mchana ndo kimya kabsa Wahusika wa mambo haya fanyeni marekebisho.
Hii inahusu redio ya watu clouds fm. Geita hatuwapati kabsa inakata kila mara, ni miezi miwili sasa tatizo hili, Mnapatikana usiku tu, mchana ndo kimya kabsa Wahusika wa mambo haya fanyeni marekebisho.
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Apr 13, 2017 44,604 188,819 Jun 22, 2017 #2 Ungetumia twitter/email/ taarifa ingewafika haraka zaidi.
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 51,993 69,391 Jun 22, 2017 #6 Mtoa mada Claud fm au Clouds fm???