Clouds fm Geita inakatakata hovyo kwa muda mrefu sasa

exalioth

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
2,183
3,673
Hii inahusu redio ya watu clouds fm. Geita hatuwapati kabsa inakata kila mara, ni miezi miwili sasa tatizo hili, Mnapatikana usiku tu, mchana ndo kimya kabsa

Wahusika wa mambo haya fanyeni marekebisho.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom