King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,380
- 99,190
Mbona mikocheni upo bwana??? labbda line yenu tu..sasa kwanini lawama zote ziende kwa clouds na si Tanesco kama taasisi?? sioni mantiki ya lawama zako kimsingi..
Hata kwetu Tabata upo, afterall watakataje umeme ili watu waende mpirani wakati tiketi tayari washauza.
leo kuna mechi gani?
Bora umekuja mwenyewe wa clouds.......kweli watz hatuna shukrani Clouds tv wanaonyesha mpira live,clouds fm wanatangaza mpira live wakati television zote ikiwemo tbc1 wanaonyesha muziki,lakini bado unatupa lawama eti clouds wamekuwa Tanesco,hivi kwanini watanzania hatuaminiani kiasi hicho...Mods ondoa huu ******...
kweli watz hatuna shukrani Clouds tv wanaonyesha mpira live,clouds fm wanatangaza mpira live wakati television zote ikiwemo tbc1 wanaonyesha muziki,lakini bado unatupa lawama eti clouds wamekuwa Tanesco,hivi kwanini watanzania hatuaminiani kiasi hicho...Mods ondoa huu ******...
hvi 2nafikilia kwa ku2mia nini vile?