Clouds 360 Msiite Wachambuzi Wasiojitambua Kama huyu Kamugisha

Nshomile wa Muleba

JF-Expert Member
Dec 5, 2015
2,165
5,551
Jana niko nawaangalie nyie clouds 360, kipindi kilienda vizuri katika uchambuzi wa habari mbalimbali zilizojitokeza ndani ja nje ya nchi.

Ila ilipofika kujadili Report ya CAG, mlimuiita mchumi/mchambuzi wa uchumi mkijua kuwa ameboboe kwenye uchumi na mkampa Airtime mkijua ataichambua vyema report hiyo.

Kilichotushangaza wengi ni kuwa mchumi huyo asiyejitambua vyema alianza kutumia muda mwingi KUSIFIA NA KUIMBA MAPAMBIO yasiyo na tija na kupoteza muda mwingi bila kuweka point yoyote ya msingi, Yani mtu amegandana almost nusu saa eti “Ni Juhudi za samia kuweka wazi report ya CAG” nonsense mbona hata kipindi cha JPM 1.5 trillion iliwekwa wazi licha ya CAG wa kipindi kile kutokea sintofahamu na mkuu wake.

Huyu mchumi uchwara li kada kindakindaki la chama cha kijani lilienda mbali na kuanza kutumia muda mwingi kuponda kipindi cha utawala wa JPM badala ya kuzungumzia hali ya sasa ya uchumi pamoja na ripoti ya CAG, Ni dhahiri kuwa ana ufinyu wa akili na uwezo wake wa kufikiri umetekwa na maumivu ya wakati wa JPM kukosa teuzi na “prioritazation”

CLOUDS MEDIA GROUP MSIRUDIE TENA KUITA WACHUMI WENYE MSONGO WA MAWAZO AMBAO BADALA WASHAURI SEREKALI JUU YA NAMNA YA KUENDESHA NCHI WAO WANASIFIA OUVU NA KUTUNGA PAMBIO.

Wachumi wa namna hii si afya kwa nchi.

IMG_5284.jpg

(niliona hata paul james au PJ kuonyesha uso wa mashaka juu ya huyu mchumi uchwara/au wa mchongo juu ya uchangiaji wake wenye chuki juu ya awamu ya 5 badala ajadili UCHUMI WA NCHI)
 
Ila ilipofika kujadili Report ya CAG, mlimuiita mchumi/mchambuzi wa uchumi mkijua kuwa ameboboe kwenye uchumi na
This is 🇹🇿.. mijitu badala ya kusema uhalisia inatumia kama fursa ya kupalilia njia zao.. haya ndio yanatakiwa kuhasiwa na kupigwa miti
 
Jana niko nawaangalie nyie clouds 360, kipindi kilienda vizuri katika uchambuzi wa habari mbalimbali zilizojitokeza ndani ja nje ya nchi.

Ila ilipofika kujadili Report ya CAG, mlimuiita mchumi/mchambuzi wa uchumi mkijua kuwa ameboboe kwenye uchumi na
Huyu Kamugisha si ndio yule mshikaji wake @Omughaka alienda nae Congo wakatapeliwa? Hahahahahahaha
 
Jana niko nawaangalie nyie clouds 360, kipindi kilienda vizuri katika uchambuzi wa habari mbalimbali zilizojitokeza ndani ja nje ya nchi.

Ila ilipofika kujadili Report ya CAG, mlimuiita mchumi/mchambuzi wa uchumi mkijua kuwa ameboboe kwenye uchumi na mkampa Airtime mkijua ataichambua vyema report hiyo.

Kilichotushangaza wengi ni kuwa mchumi huyo asiyejitambua vyema alianza kutumia muda mwingi KUSIFIA NA KUIMBA MAPAMBIO yasiyo na tija na kupoteza muda mwingi bila kuweka point yoyote ya msingi, Yani mtu amegandana almost nusu saa eti “Ni Juhudi za samia kuweka wazi report ya CAG” nonsense mbona hata kipindi cha JPM 1.5 trillion iliwekwa wazi licha ya CAG wa kipindi kile kutokea sintofahamu na mkuu wake.

Huyu mchumi uchwara li kada kindakindaki la chama cha kijani lilienda mbali na kuanza kutumia muda mwingi kuponda kipindi cha utawala wa JPM badala ya kuzungumzia hali ya sasa ya uchumi pamoja na ripoti ya CAG, Ni dhahiri kuwa ana ufinyu wa akili na uwezo wake wa kufikiri umetekwa na maumivu ya wakati wa JPM kukosa teuzi na “prioritazation”

CLOUDS MEDIA GROUP MSIRUDIE TENA KUITA WACHUMI WENYE MSONGO WA MAWAZO AMBAO BADALA WASHAURI SEREKALI JUU YA NAMNA YA KUENDESHA NCHI WAO WANASIFIA OUVU NA KUTUNGA PAMBIO.

Wachumi wa namna hii si afya kwa nchi.

View attachment 2584999

(niliona hata paul james au PJ kuonyesha uso wa mashaka juu ya huyu mchumi uchwara/au wa mchongo juu ya uchangiaji wake wenye chuki juu ya awamu ya 5 badala ajadili UCHUMI WA NCHI)
Kwa ninavyowafahamu wahaya usikute alilipia kipindi ili aonekane🤣
 
Back
Top Bottom