johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,968
- 141,976
Mtangazaji Hassan Ngoma wa Clouds tv amesema Askofu Lyimo hakuwa sahihi kuuliza swali linalohusu mikutano ya siasa kwenye kikao cha viongozi wa dini na Rais Magufuli. Ngoma wa mkutano ule ulihusu mambo ya kiimani ( kiroho) siyo siasa.
Ngoma ameuliza ikiwa viongozi wa dini watauliza mambo ya kisiasa siku sana watakapokutana na Rais Magufuli waulize maswali gani?
Clouds 360 iliwakilishwa na Sam Sasali katika mkutano huo ambaye amedai alipewa jukumu la kukaribisha wageni na kuwaelekeza sehemu ya kwenda kukaa.
Asubuhi njema
Maendeleo hayana vyama!