Kichwa cha habari umesema "Check" kwenye habari unasema "wameshawaagiza NMB Bank tangu tarehe 25 mwezi huu wawalipe CRDB kutoka katika account ya halmashauri ili watulipe".
Kama ni check it takes 3 to 5 days from the deposited you deposited it. Kama ni transfer huwa inachukuwa 24 hours na inabidi wakupe transfer slip. hayo kwa mujibu wa nijuavyo mimi, lakini nadhani humu kuna ma bankers wataokufafanulia zaidi.