Cloning facebook for newgen Tanzania

Mbona kama umecopy na kupaste hiyo temp color na full layout kutoka kwa Zuckerberg? Badilisha hiyo layout kama kweli unataka kuondoa FB mentality! Otherwise Great work bro!
One request; Naomba unielekeze kuhusu host server unayotumia bei kwa mwezi.
 
Usikatishwe tamaa na wabongo wasiopenda kujaribu! Ipende kazi yako, hizo ni changamoto tu!
 
By chief-mkwawa Nakushauri bora umiliki kablog kako kadogo tu Donn nadhani bwana chief-mkwawa alitaka kumuweka sawa rafiki yetu SamJet kuwa instead kufanya project kubwa ambayo ndo clone ambayo kwa mtazamo wa wengi itakuwa ni na sifuri bora akafanya something small but original ambacho kitukuwa kina grow in time thats why akamwambia kablog kadogo
 
Last edited by a moderator:
nyi mnapeana kichwa copy an paste uzushi

Jamaa mwanzo kauli yake amesema ni website ya tanzania then ukiingia tu kuna ramani ya dunia ipo conected dah

Then website ya tanzania halafu website ya kingereza. Ni sawa na wale wanafunzi wanaogilizia darasani wakaigiana hadi majina


Nna rafki yangu mmoja ana miaka 15 yupo form 2 namfundisha fundisha mambo ya website anazo hizo web za facebook kibaooooo tena sku izi no need sjui ya kutafta host wala script unatengeneza tu online dakika 10 nyingi.

Trust me its better uwe na blog of ur own kuna jamaa humu ana kablog kake ka mifugo fresh tu anapiga kazi na jamii inafaidika.
 
Nini maana ya Clone?

Simpenzi wa kufanya cloning, but we must be polite. Kupunguza ukali wa maneno...

Hiyo koment unaona ulivyo ichambua MtotoSix . Kitu kama hicho ndo kilitakiwa pale mwanzo
 
Last edited by a moderator:
Mtu mwenye vision anaonekana we umejirekebisha lakini pia ulianza hivi hivi aspojirekebisha nayeye hatafika popote.

Angalia humu ndan jf kuna watu kama young master, kilongwe, mtazamaji, kang ona wanavyopresent vitu vyao huwez ona uchafu wa design hii kwenye coment hata sku 1.

I hope hata mark hakua hivo

Kweli kati ya watu walioongea mambo ya maana na ya kijinga zaidi kwenye post comments hizi ni wewe, hebu angalia hao uliowataja wanafanya nini, na kwanini wanafanya hivyo na wanaimpact kwa watu wangapi, WAMEANZA LINI, MPAKA LEO WAMEFANIKIWAJE....... NA KESHO WATAFANIKIWAJE..... JE WALIKUA INNOVATIVE KUANZA IDEA ZAO ORIGINALL...

NDIO WANA VISION, I RESPECT THAT FOR ALL DEVELOPERS HERE, BUT WEWE UNA VISION YA KUANGALIA IN SOMEONES BROKEN VIEWS
 
chief mkwawa na MtotoSix,
PUNGUZA CRITICS, ANGALIA UNA COMMENT NINI, KWENYE TOPIC GANI NA WEWE UMEFANYAGA NINI.
HAPA JF, MFANO MKWAWA UNA 78% NEGATIVE COMMENTS, WEWE PROJECT YAKO NI IPI TU COMMENT NA SISI
 
Last edited by a moderator:
SamJet GIVENALITY Donn chief-mkwawa we jamaa hapa hatufanyi mashindano ya nani mkali. negative critcs zinakufanya uumize head usilete mambo ya cloning... mimi nna kazi zangu kibao ambazo zipo hewani kwani lazima nilete hapa? sam kubali kukosolewa hii haitakiwi kukukatisha tamaa bali uumize kichwa sasa tutapigaje hatua za ugunduzi kama hatuumizi vichwa, sam usiwe na negative attitude na sisi, mimi sikupenda majibu yako, uliomba opinion za watu tumekupa umekasirika, wewe ungesema Show Off au promo website yako. thats it, mi naamini we mkali ila usianze kuchukia watu kisa wamekucritisize
 
Last edited by a moderator:
Watu wamempa ushauri wa kutosha japo amekuwa mbishi kimtindo but I hope ameelewa na amejifunza vingi,kiukweli hiyo ni facebook kasoro jina tu na sioni umuhimu wa mimi kujiunga kwake wakati kuna facebook yenyewe original. Huyu jamaa akitoka na hii hii kitu mi najitoa mitandao yote duniani ikiwemo JF labda abadilike fasta.

Sent from my BlackBerry
 
ailete hapa tumpe reviews, kuificha haina maana, Nataka nimuoneshe kwamba sio kwamba sikuweza kuanza from scratch,,,,nilipenda tu.

Leta project fasta

nahisi hujafuatilia comments zangu. Nadhani unafait mpaka walioupande wako. Nimeshakuja na projects kibao na zikatolewa mawazo humu J.F na nikapata comment kama hizi. Na hao waliotoa comment ndio marafiki zangu wakubwa today. Sijawahi kumchukia mtu kwa comment. Jifunze kutokana na makosa, hakuna anayejua kilakitu MtotoSix GIVENALITY chief-mkwawa SamJet
 
Last edited by a moderator:
GIVENALITY SamJet Donn ----------- mimi pia nafanya kazi na Donn lakini sipendi tu kujifanya namjua sana. najua most of things anafanya... mi napenda tumalize mjadala. kama hupendi critics mbaya usilete mada ya kuomba watu wakushauri jamani. tuwe na amani sio kuoneshana mabavu nani mkali kuliko mwingine

SamJet kama hujui chief-mkwawa ni moja ya wakongwe katika jamvi hili na anastahili heshima za kipekee kwa mchango wake mkubwa. beleve me
 
Last edited by a moderator:
Samjet nimesoma comment za walionitangulia kucomment na nimeona ambavyo hupendi kuwa criticised. Kaka kumbuka we mwenyewe ndo umeomba opinions, so labda ungespecify kama ziwe za kukusifu tu au zozote.

Idea yako ni nzuri ila kumekuwa na vitu vingi ambavyo havipo sawa. Mi nafikiri kuja kipekee na kuvutia watu wengi zaidi (hasa wa nyumbani) ungezingatia haya mambo;

1. Lugha iwe ya kiswahili (kama ukipenda kuwa local zaidi) ila kama unataka kuwa global, nenda na English (Hata fb ilianza na lugha yao then ndo wakaongezea others baada ya kupata members wengi).

2.Template uliyotumia haimfanyi mtu ambaye hajui what BB is kutaka kujua sababu ataconclude kuwa ni fb kumbe BB. Njoo kipekee ili kupata more members.

3.Ukiwa unafanya kitu ambacho mwingine alishakifanya inabidi kuongeza unique features ukiachilia zile alizoweka yeye ili uexpand faster (mfano: Airtel hawatozi fee ktk airtel money sababu voda walishateka soko).Hata Mark aliongezea ideas za wale mapacha kwenye project yake ya FACEWASH ndio akapata facebook. So weka features za kutufanya tukupe first place badala ya fb.


Yangu ni hayo tu....!!!!
 
wabongo kuiga tu, tutolee uchafu wako hapa, umeomba ushauri halafu unakuwa na kiburi, alaaaaaaaaaaaaaaaah
 
TOPIC CLOSED, AND PROJECT ABOUT TO BE CLOSED..........


IF THAT HELPS mtotosix Sirbuni C6 Donn Telefon Princeamon
 
Last edited by a moderator:
mdau SamJet unaomba topic ifungwe. umeridhika na maoni?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom