Najua facebook hawajatumia script za watu. Na pia najua facebook (mark) hawakuanza from scratch, check out facemash.
Afu kuhusu ushauri kuwa nimiliki blog, am not here to handle ip's so as to sell ads, Everything depends on ones vision
I dont know you but from the way i read your ideas, i see you have no vision, I YOU ARE GOOD AT THINKING STUFF THAT ARE OUT OF MY SCOPE.
Sina mpango wa kuwa na hq kubwa kuliko wizara, wala kuwa na wafanyakazi wengi wasiofikiria mbali kama wewe. We unafkiri 2004 facebook ilikua na wokers wangapi?
Kama wote tutakuwa na akili kama zako, basi wote tutafanikiwa kuajiriwa (kama wewe) na kuishia kumtumikia bosi.
Bro, una umri gani?
Broo ili kuweza fanikiwa inabidi kupunguza hasiraa,in business you have to have Kalugha ka kimahaba. nimeipenda idea yako sio lazima kila mtu aajiriwe. Ila Inataka fanana na fb. Could you Uumiza kichwa very mo
U see those reds? Hayo ni majibu umeanza kujijibu
1) script- so we umetumia ya watu unajua maana yake? Ni sawa na mtu alonunua kitu duka la jiran then anauza kwake wateja wakijua wataenda kwa jirani maana watu wanapenda zaidi original.
2)sell ads- hapa naanza ku question elimu yako unahitaji mapato ili uweze ku improve bidhaa yako. Sjawahi sikia social network non profit maybe kama una aim ya kuingia guiness wonders of the world. Facebook wanapata zidi ya trilion 5 kwa mwaka na zaidi ya 90% ni matangazo ndo mana leo wapo pale bila income utalipaje host nzuri utalipaje watu?
3) 2004- kumbe unajua idea ya facebook ni 2004 mpaka now ni 8yrs ago na still unajiita una vision kuiga idea ya miaka 8 ilopita. Sasa hivi tunakaribisha html 5 programers waukweli wanagundua app mpya za html 5 ila we umekazana na idea ya 2004.
4) umri- sjajua umeingiaje hapa kama umri kama unavofkiria wewe ndo akili ur wrong maana mack yeye alikua mdogo wakati anaanzisha fb
Huyu bibi besse coper anaingia miaka 116 kwa idea yako ya umri angekua ndo genius
Kwa hiyo umetengeneza clone ya facebook ambayo haina watumiaji na haina business plan ya kujiendesha kama ikifanyikiwa maana hosting cost za successful website sio mchezo. Kwanini mimi na watumiaji wengine tuhame fb na kuja kwako? Pia sidhani kama social network zinakuwa na maana kama ni local, nina marafiki na ndugu kila kona ya dunia sasa kwaninini nijiisolate kwenye local social network ambayo sio rahisi mtu ambaye sio mtanzania ajiunge?
sam jet ushatuambia we unasomea computer and still u r cloning how can u ever manage kucreate website zako kwa ufanisi wako hivi unataka kuniambia umeshindwa kutengeneza website hata yenye full page ina pcha lako kubwa tu ila unawaza clonning dah man tengeneza chako. Ishu nyingine ni kwamba najua ukimaliza kusoma itabidi uwe capable kufanya website design nakwambia kama utakua unajilisha we na mke wako kwa clonning utapigwa kibindo mpaka polisi ogopa sana copy rights kaka
sam jet ushatuambia we unasomea computer and still u r cloning how can u ever manage kucreate website zako kwa ufanisi wako hivi unataka kuniambia umeshindwa kutengeneza website hata yenye full page ina pcha lako kubwa tu ila unawaza clonning dah man tengeneza chako. Ishu nyingine ni kwamba najua ukimaliza kusoma itabidi uwe capable kufanya website design nakwambia kama utakua unajilisha we na mke wako kwa clonning utapigwa kibindo mpaka polisi ogopa sana copy rights kaka
ni rahisi kubadili wordpress , drupal au hata joomla kuwa social network of ur own style kwa level unayotaka tena bila kuwa na ujuzi mkubwa wa coding and all that, wakati najifunza html zamani nilikuwa "naiba" page zinazonivutia kwenye net kisha nazicustomize then nazirudisha yani inaonekana na originality kidogo then inaweza kuwa developed kidogo kidogo sio kuchukua entire script uwaambie watu ni faacebook ya kibongo
its facebook clone.......... come on man, yani umeshindwa kutengeneza custom theme tofauti na hii? mimi pia nnazo facebook clones just for learning purposes... tafuta custom theme man, ukiacha copyright infringement inaonesha una lack createvity....tena iyo script ina template kibao unazoweza kucustomize
Kweli we bado Mtoto, six,
Kwanini zamani ulikua unaiba html staticpages? We utakua kweli hujaangalia vizuri, ama hujaangalia ki pro..., Yani umesema nimechukua entire script? kweli, nimeichukua wapi? facebook? nimeichukua phpfox, Na ndio, inafanana na fb, ila sio entirely kama unavyosema, LAKINI KWA LEVEL YAKO, HUENDA INAFANANA ENTIRELY NA FB.
I accept the critics, ila tatizo watu wamezoea UI ya facebook! uki twist kidogo tu, ushachanganya watu. Wewe unaelewwa interface yoyote coz you r a software designer, ila sidhani bro wako ataelewa interface mpya kweli?