Cloning facebook for newgen Tanzania

SamJet

Senior Member
Jul 22, 2009
162
13
HaBari wana Jf
Tumekua tukitumia mtandao wa kijamii facebook na kuuona ni wa muhimu, Ila facebook imekua na restriction na bureaucracy za kimarekani kwasababu ni made in US. Tuachane na hayo, hayatuhusu, kikubwa ni kwamba wabongotunaweza pia kuwa na chetu ambacho kina maadili na bureaucracy za kibongo.
Ndiyo maana mimi nikaamua kuanzisha BongoBest, www.bongobest.com
Kama una wazo ama swali, Uliza.
Mchango wa kiufundi (php) pia unahitajika. (wasiliana, tuma pm mesej)
 
im not good in huo ufund ila naomba nikudokeze kitu... Knacho matter hapa ni mobile version ,.. N muhmu kujua kua wabongo weng uwezo wa pc bado! Weng wanatumia cmu. Xo web inapokosa mobile version inakua kasheshe.

Then kngne web iwe simple... Chek kama fb! Hakuna rang nyng,.. Hata twiter pia... Ujue ukjaza v2 kbongo network ovyo xo watu hatupend kusubir k2 ki load mda mrefu,...

Pia na site yenyewe isiwe complex xana! Mfano ni hii TEEN TZ nshasahau mpaka password coz huwa naona uvivu kuifungua

Just ushaur...
 
dah kijana unaona easy eeh jengo la facebook tu halifanani na wizara yoyote ya tanzania kwa ukubwa na wingi wa wafanyakazi. Unachokiona facebook ni product yao hawajatumia script za kudownload kama wewe. Nakushauri bora umiliki kablog kako kadogo tu
 
Mobile version, http://www.bongobest.com/index.php?do=/mobile/

Nimechukulia ushauri wako vyema xana mkuu.
 
Ndugu yangua Sam serevua bado kidogo kukuamini kuwa vitu vyetu vikikaa hapo vitasalimika kwani bado upo facebook ambayo mwanzilishi wake yupo hai.
Pili fungua About us terms, Privace, zote sio zako bado kwa hiyo usije poteza kumbukumbu za watu
Tatu nimeingia Google hiyo Bongobest wala sam Semvua bado havijafika kwao
nisikukatishe tamaa ulipofikia mbali maana sisi Watanzania ni Hodari
 
af cjui kwanin ila kuna web zngne znafnana na fb!
eg
ganta
facebookoff

So inaweza isiwe kess sana japo hata mm nngependa utumie idea tofaut na scripts tofaut. Hata kama colour zkifanan bas zpauke kdogo .... Na hapo kdogo utani impress zaid
 
dah kijana unaona easy eeh jengo la facebook tu halifanani na wizara yoyote ya tanzania kwa ukubwa na wingi wa wafanyakazi. Unachokiona facebook ni product yao hawajatumia script za kudownload kama wewe. Nakushauri bora umiliki kablog kako kadogo tu

Najua facebook hawajatumia script za watu. Na pia najua facebook (mark) hawakuanza from scratch, check out facemash.

Afu kuhusu ushauri kuwa nimiliki blog, am not here to handle ip's so as to sell ads, Everything depends on ones vision

I dont know you but from the way i read your ideas, i see you have no vision, I YOU ARE GOOD AT THINKING STUFF THAT ARE OUT OF MY SCOPE.

Sina mpango wa kuwa na hq kubwa kuliko wizara, wala kuwa na wafanyakazi wengi wasiofikiria mbali kama wewe. We unafkiri 2004 facebook ilikua na wokers wangapi?

Kama wote tutakuwa na akili kama zako, basi wote tutafanikiwa kuajiriwa (kama wewe) na kuishia kumtumikia bosi.

Bro, una umri gani?
 
Ndugu yangua Sam serevua bado kidogo kukuamini kuwa vitu vyetu vikikaa hapo vitasalimika kwani bado upo facebook ambayo mwanzilishi wake yupo hai.
Pili fungua About us terms, Privace, zote sio zako bado kwa hiyo usije poteza kumbukumbu za watu
Tatu nimeingia Google hiyo Bongobest wala sam Semvua bado havijafika kwao
nisikukatishe tamaa ulipofikia mbali maana sisi Watanzania ni Hodari

Got it, privacy zinakua handled within 48hrs.
Then kuhusu google na meta, web imekua uploaded jioni hii, effect zitaonekana within 24hrs according to google
 
Mkuu kwanza hongera kwa hatua hiyo, ila swali langu kwenye terms of use and privacy policy,lugha iliyotumika hapo siielewi kabisa.Nisaidie kwa hilo
 
Script na muonekano haina shida, kwani copyright inayomlinda samjet ni ile ya script ya jcow. Bila shaka facebook imetokea katika hizi hizi script. chief-mkwawa SamJet
 
Last edited by a moderator:
Umetumia jcow? Mi sishauri kuifananisha na fb. Badili theme color. Ni PM Kama vp

Donn, hii sio jcow, ni phpfox
UI yake nimeamua kufananisha na fb ili kurahisisha watu kutambua vitu viloje vikowapi.
 
Got it, privacy zinakua handled within 48hrs.
Then kuhusu google na meta, web imekua uploaded jioni hii, effect zitaonekana within 24hrs according to google

umesubmit site to google ? If yes thats a bad idea. Bora kusubmit yahoo utapata rank angalau. But google back links ndo mpango
 
Mkuu kwanza hongera kwa hatua hiyo, ila swali langu kwenye terms of use and privacy policy,lugha iliyotumika hapo siielewi kabisa.Nisaidie kwa hilo

Worry not, nlishasema kwenye comments, a48hrs effect
 
Donn, hii sio jcow, ni phpfox
UI yake nimeamua kufananisha na fb ili kurahisisha watu kutambua vitu viloje vikowapi.

phpfox na jcow zote zinaweza kupata muonekano wa facebook. ila chamsingi bro ni kupata active members hapo utapata moyo wa kufanya editing za ukweli. and phpfox is that a paid script? Je kunalimit ya members?
 
Najua facebook hawajatumia script za watu. Na pia najua facebook (mark) hawakuanza from scratch, check out facemash.

Afu kuhusu ushauri kuwa nimiliki blog, am not here to handle ip's so as to sell ads, Everything depends on ones vision

I dont know you but from the way i read your ideas, i see you have no vision, I YOU ARE GOOD AT THINKING STUFF THAT ARE OUT OF MY SCOPE.

Sina mpango wa kuwa na hq kubwa kuliko wizara, wala kuwa na wafanyakazi wengi wasiofikiria mbali kama wewe. We unafkiri 2004 facebook ilikua na wokers wangapi?

Kama wote tutakuwa na akili kama zako, basi wote tutafanikiwa kuajiriwa (kama wewe) na kuishia kumtumikia bosi.

Bro, una umri gani?
Broo ili kuweza fanikiwa inabidi kupunguza hasiraa,in business you have to have Kalugha ka kimahaba. nimeipenda idea yako sio lazima kila mtu aajiriwe. Ila Inataka fanana na fb. Could you Uumiza kichwa very mo
 
Haya, privacy, na terms and conditions tayari zipo hewani, check out.

Mobile version m.bongobest.com
 
Back
Top Bottom