chakutaka
Senior Member
- Feb 6, 2015
- 150
- 14
kwa wale mnaopita eneo la Clock Tower jijini Dar es Salaam, karibu na stesheni mtakuwa mmeshuhudia uchafu unaoendelea kutupwa katika mnara huo wa saa, hivi manispaa ya Ilala mko wapi, lile ni eneo ni makumbusho lakini uchafu ule mnauachia mpaka liwe dampo,. vilevile mzunguko wa kariakoo karibu na eneo la Kongo ni uchafu uchafu uchafu, manispaa hata kufagia mmeshindwa?? mnaweza nini?