Clinical officer vs general agriculture

Clinical officer vs general agriculture

Soma clinical officer mdogo Wangu achana na kilimo kwanza,,watanzania hawanamazoea yakutumia maafisa ugani wa kilimo au mifugo!!!
 
Ukisoma general agriculture ili utoke ukabali kuingia katika kilimo au ufugaji!! C.O is close to MD utaweza fungua pharmacy au duka la dawa,,you can work to more than one private hospital!!! Kujiali kwenye kilimo au ufugaji hauitaji kwenda SUA,,Na huku mitaani hatuna huitaji wa maafisa ugani!!! Watu wanatibu mifugo bila vyeti vya SUA au LITI!!
 
Na sisitiza soma CO kama una qualification!! I have my fellow graduants in Animal health, General Agriculture and Animal production ,,,hating their career and choice usipoajiliwa serikalini ni shi tu na hautaruhusiwa kupima nyama kwenye machinjio ya serikali!!! Uombe upate kazi ktk makampuni ya nje yanayijihusisha na kilimo/ufugaji!
 
Mpaka sasa kwa hapa Tanzania, Diploma pekee yenye Maana, Fursa na Uhakika mkubwa Ajira ni CLINICAL OFFICER.

Kama Degree ya Agriculture General haina faida yoyote kwa sasa, Diploma yake itakuwa na nini cha maana?
sio kweliiii umedanganyaaaa fuatilia vizuriiiii
 
sio kweliiii umedanganyaaaa fuatilia vizuriiiii
Huo ndio ukweli, Kozi za Agriculture sio rahisi kujiajiri na hata kuajiriwa kwa kipindi hiki, na hata mshahara wake serikalini ni mdogo sana ukilinganisha na Afya.
Tuwe wa kweli hapa ili kuwasaidia wengine.

Narudia tena, haihitaji kwenda kusomea kozi ya Agriculture ili ujiajiri kwenye Kilimo. Mtu yoyote yule anaweza kuwa mkulima hata kama hukusoma kabisa.
 
binafsi yangu nmesoma kilimo na nmejiajir huko
 
binafsi yangu nmesoma kilimo na nmejiajir huko
Hongera sana.
Swali.
1/Je, ulihitaji kusomea kwanza Kozi ya Kilimo ili uweze kujiajiri kwenye mambo ya kilimo?

2/Watu wengi huko kwenye Kilimo, walisoma kwanza kilimo kabla ya kujiajiri kwenye kilimo?

3/Ulipanga kusomea kozi za kilimo ili uende kujiajiri kwenye Kilimo au ilitokea tu?

4/Unaweza ukasema nini kuhusu kusomea kozi za kilimo ili kuja kuajiriwa? (Ajira? Mshahara? Mazingira? Marupurupu?).

5/Unaweza ukamshauri nini, mtu mwenye sifa za kwenda chuoni, kuhusu kuchagua au kutokuchagua kozi za Kilimo kwa sasa?
 
My point ni Kwamba...
1/Suala la kujiajiri ni zaidi ya Taaluma uliyosomea.
Unaweza ukajiajiri hata kama hukusoma kabisa. Hivyo tusijidanganye kwenda chuoni kusoma ili kuja kujiajiri. Wasomi wengi ni waoga na wazito sana wa kuweza kujiajiri, inahitaji kuweka usomi wako pembeni kwanza ili uweze kujiajiri.

2/Huwezi ukalinganisha uzito wa taaluma ya Afya na taaluma ya Kilimo kwenye soko la ajira ya kuajiriwa(Ajira na Mshahara). Ni rahisi sana kuajiriwa kwenye sekta yaa Afya na kulipwa vizuri zaidi kuliko sekta ya kilimo kwa sasa hapa Tanzania.

3/Wapo wahitimu wengi wa Diploma ya Clinical Officer maeneo ya Vijijini wameajiriwa na Serikali, na hapo hapo wamejiajiri kwenye Kilimo huko huko vijijini. Lakini huwezi kukuta Afisa Kilimo kaajiriwa na serikali na hapo hapo kajiajiri kwenye sekta ya Afya.
 
afisa kilimo kumiliki duka la dawa baridi za binadamu sio kujiajiri kupitia sekta ya Afya? afisa ughani wengi wameajiriwa na kujiajiri kupitia kilimo isipokua wengi hawafanyi kwa ukubwa kulinganisha na maarifa waliyo nayo
2/hoja ya kuajiriwa kwa co na DGA ni ukweli CO wana shavu sana ila kwa kujiajiri DGA ni short cut
 
Ngoja nikujibu hoja zako hapa.
1/Mtu yoyote yule anaweza kuanzisha biashara yaa duka la dawa baridi kama mmiliki, lakini uendeshaji wake unahitaji kisheria ulazima wa Mfamasia au mtaalamu wa Afya. Hivyo lazima uajiri tena mtaalamu wa Afya kukufanyia biashara hiyo.
Bado sioni uhusiano maalum wa moja kwa moja wa Afisa kilimo na kuanzisha biashara ya duka la dawa baridi. Na Ukizingatia kuwa, maafisa kilimo wengi wanapaswa wawe vijijini kuliko mijini, na biashara za duka la dawa baridi hazilipi kabisa Kijijini.

2/Huhitaji kuwa Afisa kilimo ili kuweza kujiajiri kwenye sekta ya Kilimo. Mtu yoyote ule anaweza kujiajiri kwenye Kilimo.

3/Sio jambo rahisi kabisa kwa Msomi wa Kilimo, kutumia kisomo chake pekee kama mtaji wa kujiajiri. Sehemu kubwa ya kilimo hapa Tanzania inafanywa vijijini tena kienyeji sana, katika mazingira hayo Afisa kilimo wa serikali mmoja anahudumia kijiji kizima vizuri kabisa tena bureee. Unajiajiri vipi? Kuuza mbegu? Kuuza mbolea? Kuuza mazao? Dili zote hizo zinapigwa na wajanja wa kawaida kabisa ambao huenda hata darasa la Saba hawakufika.

3/Tuwe wakweli na tuwe wa wazi kabisa, Ushindani wa Kupata nafasi ya kusomea Diploma ya Clinical Medicine(Clinical Officer) ni mkubwa sana kuliko Diploma karibu zingine zote. Wengi waliokosa nafasi ya kwenda kusoma Clinical Officer, basi ndio utafuta alternative ya kusomea Agriculture general nk. Hilo jambo halitokei kwa bahati mbaya, ni matokeo ya fursa zilizopo baada ya kumaliza masomo.
 
hajafanya utafiti uyooo mfano umwangalie masanja nje na comedy kawekeza kilimo na yupo vizurii balaaa
Nadhani unachanganya mambo hapa.
Kuna kujiajiri kwenye Kilimo(Jambo ambalo mtu yoyote anaweza kujiajiri huko na kufanikiwa vizuri tu) na Kusomea Fani ya Kilimo badala ya fani ya Afya ili kuja kujiajiri(Jambo ambalo ni kutokujitambua)
 
sio sahihi
 
CO huwezi kuilinganisha na course ya kipuuzi kama DGA hapa inabidi paeleweke kabisaaa..

Nimeona sana vijana mkilumbana sana wengine naona wanaelewa heshima iko wapi....wakati huo wengine wanapost bila kufikiria au kishabiki tu..

Ajira za CO ziko njenje MTU akishahitumu na mshahara ni mzuri iwe serikalini au private..

Bado CO ana nafasi kubwa ya kujiajiri au kufanya part-time jobs

Bado Heshima iko hapaa sasa kama hamjui....jamii nzima ukiuliza huwezi kushindwa kumfahamu mtaalamu wa afya(mganga-afisa tabibu) maana kazi zao zinakubalika sana..

Bado kama unabisha angalia wakati wa udahili wa vyuo vya afya(CO) ndipo utaelewa mema ya nchi yako sehemu gani.

Binafsi naamini Co ni diploma pekee iliyobaki na hadhi kubwa kulinganisha na zingine zote.
 
Kujiajiri kwa maana ya kufanya mambo kisasa maana wengi waliopo hulima kimazoea na masoko yao huishia mikoa ya karibu na kuuza hata nchi za jirani ni ngumu ila ugumu huo ni kwasababu hawafanyi kisasa.

Sasa mtu akisoma agriculture si anaweza asifananishwe na hao wakulima wa kawaida cuz yeye anajisimamia mwenyewe kwa maana ya kujiajiri kitaalam?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom