Mkuu nasikia Dodoma Bahi na Mpwapwa ni nafuu ukae kuzimu tuu. Je ni kweli?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😃😃😃😃Kama tittle inavyosema apo juu. Njoo DODOMA mpwapwa mi nije uko uliko taja wilaya tu nikiridhika nakuja.
Offer hela ya kukusafirisha 700, 000/=
Njoo KilimanjaroKama tittle inavyosema apo juu. Njoo DODOMA mpwapwa mi nije uko uliko taja wilaya tu nikiridhika nakuja.
Offer hela ya kukusafirisha 700, 000/=
Hapana sio kweli kabisa. Mimi kule Mpwapwa ndio home na sijawahi na ni mji uliochangamka vizuri tu acha kupotoshwaMkuu nasikia Dodoma Bahi na Mpwapwa ni nafuu ukae kuzimu tuu. Je ni kweli?
Sehemu gani. Chief