Kubadilishana Kituo cha Kazi

RAINEL LIHAWA

Member
Apr 14, 2015
33
30
Nahitaji kubadilishana kituo cha kazi

Mimi ni VEO
NIPO wilaya ya RUFIJI

mkoa wa pwani.

Nahitaji mtu wa kuja huku
Halafu mimi nije mkoa wowote nyanda za juu kusini

Kati ya
I
IRINGA, MBEYA, NJOMBE, RUVUMA AU MOROGORO.

KWA mawasiliano nitafute

0753538043
 
ngoja tule xmas kwanza
 
rufiji sehemu gani? umeajiriwa juzi au una muda gani kazini?.... hupo nyambunju mbwara, muhoro, miwaga, kipugira, ikwiriri, utete, mkongo, tapika, nyamwage, kingupira
 
Muandikie barua moja kwa moja Mukulu (ukieleza sababu za msingi)

Yeye ni mtu msikivu na mwenye huruma sana...!
 
rufiji sehemu gani? umeajiriwa juzi au una muda gani kazini?.... hupo nyambunju mbwara, muhoro, miwaga, kipugira, ikwiriri, utete, mkongo, tapika, nyamwage, kingupira
yeah ni karibia na kibiti sema ina tegemea umepelekwa kijiji gani... kuna vijiji ni shida kama kule sio kwenu... ukimaliza mwaka ni kama ulikuwa Isolation room una letewa chakula tu... no ndg no rafiki, kuna sehemu no maji, no umeme... kuna sehemu kuna itwa delta ya mto rufiji ni shida maji kupwa maji kujaa...
 
Mimi ni VEO nipo rufiji natafuta VEO Aliyepo halmashauri yeyote ya mikoa ya nyanda za juu kusini kama IRINGA,MBEYA,SONGEA na NJOMBE. Ili tuweze kubadilisha kituo cha kazi. Kwa mawasliano zaidi pga cm no

0719174620
0753538043
 
Back
Top Bottom