Kweli tumechoka sasa!!!Yatokee tu tumeshachoka na ushenzi wanaotufanyia hawa leaders wasio na aibu!!!!!... tutajitokeza kumuondoa nduli kikwete!!
mi niko tayari kujipiga motoooo ila masela muwahi tu kuuzima si mnajua?
ha ha haaaaa,wakati unafanya hilo uwe karibu na gari la zima moto...
Halafu unaita vyombo vya habari vya ndani na nje, unachagua kati ya mtaa wa Kongo au Stendi ya Ubungo ili wakisha kuzima waelekee Magogoni!
kwa sababu kinachopigwa vita hapa si rais kikwete bali ni rais muislam jaribuni muone repakasheni yake ya upande wa pili. kwani hata sisi tumechoka na vituko vyenu.Yatokee tu tumeshachoka na ushenzi wanaotufanyia hawa leaders wasio na aibu!!!!!... tutajitokeza kumuondoa nduli kikwete!!
Acha ujinga wewe!Dini inahusu nini kwenye mjadala huu...tuache tubaki na amani badala ya kuamsha hisia potofu.Unadhani ukichochea udini ikatokea vurugu wewe na familia yako mtapona? Watu kama nyinyi mnafaaa kuwekwa frontline.....kwa sababu kinachopigwa vita hapa si rais kikwete bali ni rais muislam jaribuni muone repakasheni yake ya upande wa pili. kwani hata sisi tumechoka na vituko vyenu.