Makundi AFCON Tanzania hali ni tete!

Robot la Matope

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
7,091
13,790
Droo ya kupanga makundi fainali za Afcon 2023 zitakazofanyika nchini Ivory Coast mwakani itafanyika Oktoba 12 na Tanzania ipo katika pot 4 na timu za Guinea Bissau, Msumbuji, Namibia, Angola na Gambia ambazo hatokutana nazo.

Wapinzani wa Tanzania katika hatua ya makundi watatoka katika Pot 1, 2 na 3 (kila pot timu moja) na pot hizo ni

• POT 1 Ivory Coast, Morocco, Senegal, Tunisia, Algeria, Misri

• POT 2 Nigeria, Cameroon, Mali, Burkina Faso, Ghana, DR Congo.

• POT 3 Afrika Kusini, Cape Verde, Guinea, Zambia, Equatorial Guinea, Mauritania.

#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa
 
Nigeria, Misri na Cape Verde ni wanyera tu
 
Kwani ulitegemea nini kwenye kuleta uwiano kwamba timu zote kali zisikutane wakati mmoja ? Kwahio ilikuwa obvious vibonde wapangwe pot moja kuepuka hio kadhia ni kupanda kiwango cha Soka
 
Sasa itakuaje??
 
Droo ya kupanga makundi fainali za Afcon 2023 zitakazofanyika nchini Ivory Coast mwakani itafanyika Oktoba 12 na Tanzania ipo katika pot 4 na timu za Guinea Bissau, Msumbuji, Namibia, Angola na Gambia ambazo hatokutana nazo.

Wapinzani wa Tanzania katika hatua ya makundi watatoka katika Pot 1, 2 na 3 (kila pot timu moja) na pot hizo ni

• POT 1 Ivory Coast, Morocco, Senegal, Tunisia, Algeria, Misri

• POT 2 Nigeria, Cameroon, Mali, Burkina Faso, Ghana, DR Congo.

• POT 3 Afrika Kusini, Cape Verde, Guinea, Zambia, Equatorial Guinea, Mauritania.

#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa
Justfy uhalitete unaomaanisha hapo
 
Tunisia, DRC/Ghana, Mauritania, Tanzania tunaweza kupata point kwa yeyote hapo
 
Hii itakua miujiza
Kwenye football miujiza ni vitu vya kila siku.

Saudi Arabia kumfunga Argentina, Morocco kumtoa Portugal, Japan kuongoza kundi mbele ya Spain na Germany
CAR kumfunga Nigeria uwanja wake wa nyumbani, Tz kusare na Algeria, Commoros kuwa dark horse Afcon 2020.
 
Pot 3 tunaweza kupambana nao port 2 tukimkwepa Ghana, Cameroon na Nigeria hao wengine angalao tunaweza kuambulia point
 
Kwenye football miujiza ni vitu vya kila siku.

Saudi Arabia kumfunga Argentina, Morocco kumtoa Portugal, Japan kuongoza kundi mbele ya Spain na Germany
CAR kumfunga Nigeria uwanja wake wa nyumbani, Tz kusare na Algeria, Commoros kuwa dark horse Afcon 2020.
Ngoja tuombe
 
Back
Top Bottom