Cleopa Msuya awafuata Lowassa na Sumaye?

Wala hilo litakuwa kifo kwa watu wa Kilimanjaro na Arusha.Sababu ukiwachukua watu wote wa mikoa hiyo walioko nchi nzima na nje uwarudishe wote kule hawatoshi.Ardhi hamna wataishia kufanyiana ujambazi na kuuana hovyo .Kusambaa mikoa mingine kumesaidia sana wao KUEPUKANA NA migogoro.Serikali iliendeshe kampeni nyingi na kuwahamisha kwa makundi kutoka mikoa hiyo na kuwapeleka mikoa mingine.

Wamasai na ng`ombe zao zote walizonazo mikoa mingine uwatimue warudi kwao itakuwa kiyama kwa Arusha haitawameza.Watu wa kilimanjaro nao ukisema uwatimue kote waliko mikoa mingine warudi kwao kwenye hiyo jamhuri yao hawatoshi.Ardhi haiwezi watosha na fursa haziwezi watosha NA KUWAMBIA serikali haijafanya chochote miaka 54 Anavyosema Lowasa na Sumaye wake ni uongo na utapeli kwa wakazi wa arusha na Kilimanjaro.Hao watu ni wabaya mno mbele ya Mungu na wanadamu.Wao wenyewe walibebwa na serikali iliyopo hata viatu walikuwa hawana wakasomeshwa na kujengwa na chama na serikali iliyopo.Leo wanakenua mebno eti serikali haijafanya kitu.

Aliwayewashauri kusema CCM haijawafanyia kitu wakati ilihangaika kuwabeba wafugaji na wachaga wasio na ardhi kuwapeleka maeneo ya mikoa ya Tanga,MOROGORO NK ni kukosa shukrani Na MUNGU atawalipa kwa huo ukosefu wao wa shukrani kwa serikali wao na Lowasa na Sumaye wao anayewachochea.

Ninawalaani kwa jina la Mungu WOTE wanaosema serikali na CCM haijafanya kitu miaka yote 54.wALAANIWE WALALAPO NA WAAMUKAPO MAANA HAWANA SHUKRANI KILA WANALOGUSA LISIFANIKIWE.

Tutanunua ardhi shida iko wapi?
Umasikini mliojaziwa na CCM kwa miaka yote 54 ndiyo advantage kwetu, nakupa hela unahama tunaongeza nchi yetu mpaka ujikute uko Congo
 
Mkuu unachekesha serikali ya ccm imefanya vitu vingi ila chini ya nyerere baada ya hapo yalifuatiwa mazingaombwe
 
mda si mrefu tunaanzisha North empire, ngoja nijiandae kuhamie.yaani wana arusha pamoja na jitihada za magufuli kukonga nyonyo za watanzania bado wamethubuti kumchagua lema! yaani wanaamini CCM yale anayofanya magu ni manzingaombwe
nina nyumba arusha, i hope pale ndio patakuwa makamo makuu ya nchi yetu..hahaha.
 
mda si mrefu tunaanzisha North empire, ngoja nijiandae kuhamie.yaani wana arusha pamoja na jitihada za magufuli kukonga nyonyo za watanzania bado wamethubuti kumchagua lema! yaani wanaamini CCM yale anayofanya magu ni manzingaombwe

Sasa North Zone tumekamilika.. Kitakachofuata ni kupigania nchi yetu. Potelea mbali

Northern Empire.....mmmmhhhhhh we acha tu

Yap, hii ni nzuri sana na iwe kweli kwa sababu wenzetu walishatutenga siku nyingi.

Nilikuwa naona ni utani kumbe ni suala lililopo kweli. Kuna watu ndani ya serikali wanaongea bila kupepesa macho kwamba huu si utani ni suala la kweli watu wa kaskazini hawatakiwi kwenye serikali iliyopita ya Mkwere na nadhani hili linaendelea hata kwa Pombe.

Kama mnakumbuka Riz 1 alishasema Rais hatatoka kaskazini akiwa na maana wameshajitengenezea Uswahilini/Coastal Empire yao ya kina Maembe, Marope n.k kiasi kwamba wao watatawala hii nchi milele.

Sasa kwanini tusitengeneze north Empire kama wao walishatutenga muda wote huo
 
..Mzee Msuya anadai matendo ya rushwa, uchakachuaji, na ukiukwaji wa haki za msingi za wanachama, ndizo sababu zilizopelekea CCM kupokonywa majimbo mengi na wapinzani ktk mkoa wa Kilimanjaro.

..sasa mimi najiuliza, je mambo hayo yapo Kilimanjaro tu? Mbona maeneo mengine ya nchi hii, mfano mikoa ya kusini, kuna mateso na maisha magumu kuliko Kilimanjaro, lakini wananchi ktk maeneo hayo wameendelea kuipa ushindi CCM?

cc KipimaPembe, Getstart, @YEHODIA
Wameendelea kuipa ushindi - swali ni je ni ushindi wa haki?
 
Mkuu Mkapa aliwatumia sana wataalamu kutoka North na ndio maana kwenye awamu yake Uchumi ulikuwa unakuwa vizuri na nchi ilikuwa vizuri..

Huyu Mswahili wa msoga alivyaingia akaanza kuwapangua na kuweka waswahili wenzake, ajabu Mkapa aliacha Uchumi unakuwa kwa 7% kutoka 4% ila mswahili kachukua ukiwa 7% na kuuacha hapo hapo.. Pesa kuibiwa ovyo, ukwepaji kodi, biashara haramu za madawa na ujangili yaani nchi imekuwa ovyo kabisa.. Mbaya kabisa tunatukanwa hadharani kwamba hatuwezi kutoa kiongozi, waizi, wabinafsi na wakabila.. Sasa tunaomba kwa tabia hizo mbaya walizotupa kabla hazijasambaa kwa wananchi wote watuache tujitawale wenyewe as Northern Empire...
 
Wadau ktk kipindi cha mapitio ya magazeti leo asubuhi kinachorushwa na wapo radio, kuna gazeti limeandika Msuya awafuata Lowasa na Sumaye. Sikusikia jina la gazeti so naomba yeyote mwenye taarifa sahihi kuhusu habari hii anijuze. Ahsante.
Mwandishi wa gazeti la Nipashe lililotoa kichwa hapo juu ameenda mbali ili kuuza gazeti.

Nimeisoma hiyo habari magazeti mawili au matatu.
Mwandishi mwenye akili zaidi ameandika kuwa CCM ijisafishe ili iendelee kupendwa na watu.
Isipofanya hivyo itaenda na maji, kama tulivyoona ushindani wa uchaguzi uliopita.
Na kwa kweli amesema CCM imebebwa na utendaji mzuri wa Magufuli, isingekuwa hivyo mambo yangekuwa magumu sana.

Sasa hapo kumfuata Sumaye na Lowasa ni huyo mwandishi bavicha na ndoto zake.
 
wajaribu,tuwasafishe meno yao

...unadhani wote wa kaskazini wana meno mabovu?, na unadhani hakuna wenye meno mabovu sehemu nyingine?, navyojua mahospitalini siku hizi yanasafishwa, tena yanan'gaa balaa.
 
Wala hilo litakuwa kifo kwa watu wa Kilimanjaro na Arusha.Sababu ukiwachukua watu wote wa mikoa hiyo walioko nchi nzima na nje uwarudishe wote kule hawatoshi.Ardhi hamna wataishia kufanyiana ujambazi na kuuana hovyo .Kusambaa mikoa mingine kumesaidia sana wao KUEPUKANA NA migogoro.Serikali iliendeshe kampeni nyingi na kuwahamisha kwa makundi kutoka mikoa hiyo na kuwapeleka mikoa mingine.

Wamasai na ng`ombe zao zote walizonazo mikoa mingine uwatimue warudi kwao itakuwa kiyama kwa Arusha haitawameza.Watu wa kilimanjaro nao ukisema uwatimue kote waliko mikoa mingine warudi kwao kwenye hiyo jamhuri yao hawatoshi.Ardhi haiwezi watosha na fursa haziwezi watosha NA KUWAMBIA serikali haijafanya chochote miaka 54 Anavyosema Lowasa na Sumaye wake ni uongo na utapeli kwa wakazi wa arusha na Kilimanjaro.Hao watu ni wabaya mno mbele ya Mungu na wanadamu.Wao wenyewe walibebwa na serikali iliyopo hata viatu walikuwa hawana wakasomeshwa na kujengwa na chama na serikali iliyopo.Leo wanakenua mebno eti serikali haijafanya kitu.

Aliwayewashauri kusema CCM haijawafanyia kitu wakati ilihangaika kuwabeba wafugaji na wachaga wasio na ardhi kuwapeleka maeneo ya mikoa ya Tanga,MOROGORO NK ni kukosa shukrani Na MUNGU atawalipa kwa huo ukosefu wao wa shukrani kwa serikali wao na Lowasa na Sumaye wao anayewachochea.

Ninawalaani kwa jina la Mungu WOTE wanaosema serikali na CCM haijafanya kitu miaka yote 54.wALAANIWE WALALAPO NA WAAMUKAPO MAANA HAWANA SHUKRANI KILA WANALOGUSA LISIFANIKIWE.

Acha maombi ya kijinga hayo
 
NIPASHE limeandika uzushi. Heading haioani na yaliyomo kwenye habari. MSUYA amekosea utendaji wa CCM kama ilivyo kwa viongozi wengi wa CCM wakiwemo wastaafu na hata MAGUFULI wakatgi wa kampeni za uchaguzi. MSUYA alikuwa anahutubia mkutano wa Halmashauri kuu ya CCM ya mkoa wa Kilimanjaro.
 
Mkuu Mkapa aliwatumia sana wataalamu kutoka North na ndio maana kwenye awamu yake Uchumi ulikuwa unakuwa vizuri na nchi ilikuwa vizuri..

Huyu Mswahili wa msoga alivyaingia akaanza kuwapangua na kuweka waswahili wenzake, ajabu Mkapa aliacha Uchumi unakuwa kwa 7% kutoka 4% ila mswahili kachukua ukiwa 7% na kuuacha hapo hapo.. Pesa kuibiwa ovyo, ukwepaji kodi, biashara haramu za madawa na ujangili yaani nchi imekuwa ovyo kabisa.. Mbaya kabisa tunatukanwa hadharani kwamba hatuwezi kutoa kiongozi, waizi, wabinafsi na wakabila.. Sasa tunaomba kwa tabia hizo mbaya walizotupa kabla hazijasambaa kwa wananchi wote watuache tujitawale wenyewe as Northern Empire...

Ni sawa kabisa, tusije tukaambukiza hii Tania yetu huko kwingine.

Watuache tukae na wizi wetu
 
Chadema kuchaguliwa kuongoza jimbo ni haki yao sababu na wao ni wa tz vile vile ninashangaa baadhi ya watu kuona sehemu ikichaguliwa chadema wanashangaa na kuhisi kwamba ccm imeshindwa ni lazima iwe ivyo ile kuleta usawa kwa wa wa tz sasa majimbo mnaojiona ninyi bila ccm maisha yenu hayaendi mnapata fundisho/ni nyakati za mabadiliko sasa Tz bila ccm inawezekana.or kuwe na ushindani wa kiutawala hata ngazi ya urais co ccm wanang`ang`nia wao tu hata kama wameshindwa ktk sanduku la kura watatumia polis na tume kujipaushindi hii ni kubaka demokrasia, heshima kwenu Arachuga
 
..Mzee Msuya anadai matendo ya rushwa, uchakachuaji, na ukiukwaji wa haki za msingi za wanachama, ndizo sababu zilizopelekea CCM kupokonywa majimbo mengi na wapinzani ktk mkoa wa Kilimanjaro.

..sasa mimi najiuliza, je mambo hayo yapo Kilimanjaro tu? Mbona maeneo mengine ya nchi hii, mfano mikoa ya kusini, kuna mateso na maisha magumu kuliko Kilimanjaro, lakini wananchi ktk maeneo hayo wameendelea kuipa ushindi CCM?

cc KipimaPembe, Getstart, @YEHODIA

watakua either hawajielewi au wanaibiwa kura
 
Last edited by a moderator:
Tutanunua ardhi shida iko wapi?
Umasikini mliojaziwa na CCM kwa miaka yote 54 ndiyo advantage kwetu, nakupa hela unahama tunaongeza nchi yetu mpaka ujikute uko Congo

Utanunua ardhi kutoka mkoa upi. Kama mumeshajitenga (lakini hatuombei hivyo) ndio itakuwa imetoka hivyo. Yaani mtajazana kwenye vihamba vyenu. Na dhambi ya ubaguzi haitaishia hapo. mtaanza kubaguana Mkibosho, Mmachame, Mmarangu, Mrombo na kadhalika. Fursa za biashara hamtapata tena. Madukayenu ya spare, vyakula na kadhalika mtayarundka HIMO, Kibohehe Mashati, Hai, Rombo Mkuu na kadhalika. Huo ndio utakuwa mwisho wa enzi. waulizeni waigbo wa Nigeria Mashariki (BIAFRA) walivyofanywa from 1968 to 1970.
 
Hivi mzee Msuya mbona sikukusikia siku za nyuma kuhusu CCM. Nyinyi wakaskazizini acheni hizo.
Magufuli ni tiba mbadala tulieni mnyolewe!
Tatizo lenu mnajiona ni bora kuliko others. Check USA different people's lives and works.
Acheni umimi watu wa kskzn
Mnasumbuliwa na kasumba ya mkoloni, poleni xana
 
Utanunua ardhi kutoka mkoa upi. Kama mumeshajitenga (lakini hatuombei hivyo) ndio itakuwa imetoka hivyo. Yaani mtajazana kwenye vihamba vyenu. Na dhambi ya ubaguzi haitaishia hapo. mtaanza kubaguana Mkibosho, Mmachame, Mmarangu, Mrombo na kadhalika. Fursa za biashara hamtapata tena. Madukayenu ya spare, vyakula na kadhalika mtayarundka HIMO, Kibohehe Mashati, Hai, Rombo Mkuu na kadhalika. Huo ndio utakuwa mwisho wa enzi. waulizeni waigbo wa Nigeria Mashariki (BIAFRA) walivyofanywa from 1968 to 1970.

hapana, tunakua na sarafu yetu na serikali yetu na vitega uchumi vyetu, halafu tunaendelea kuwekeza huku kwenu dodoma, tanga, dar, kwa wasiojielewa alafu pesa tunapeleka kwetu
 
Utanunua ardhi kutoka mkoa upi. Kama mumeshajitenga (lakini hatuombei hivyo) ndio itakuwa imetoka hivyo. Yaani mtajazana kwenye vihamba vyenu. Na dhambi ya ubaguzi haitaishia hapo. mtaanza kubaguana Mkibosho, Mmachame, Mmarangu, Mrombo na kadhalika. Fursa za biashara hamtapata tena. Madukayenu ya spare, vyakula na kadhalika mtayarundka HIMO, Kibohehe Mashati, Hai, Rombo Mkuu na kadhalika. Huo ndio utakuwa mwisho wa enzi. waulizeni waigbo wa Nigeria Mashariki (BIAFRA) walivyofanywa from 1968 to 1970.

Ubaguzi wetu UPI?
Tumumbagua nani?

Huyo Mtoto wa mfalme aliyesema Rais hatatoka kaskazini naona ndiyo tumewabagua siyo?

Mliokuwa mnasema kile chama cha kaskazini si nyie CCM mkitafuta kuwagawa watu(divide n'rule) mkaleta udini muwagawe watu mkashindwa vyote hivyo sasa tunawaambia kaeni na ujinga wenu hivyohivyo msifungue vichwa vyenu.

Subirini tugombane ili mfurahi coz mtasubiri sana

North empire mmeitengeneza wenyewe na mtaipalilia wenyewe.

Tutawahamisha kama mnavyotaka
 
Back
Top Bottom