Cleopa Msuya awafuata Lowassa na Sumaye?

Cleopa Msuya awafuata Lowassa na Sumaye?

Hajawafuata kwa maana ya kuhama chama

amelalamikia kuhusu mfumo
 
mda si mrefu tunaanzisha North empire, ngoja nijiandae kuhamie.yaani wana arusha pamoja na jitihada za magufuli kukonga nyonyo za watanzania bado wamethubuti kumchagua lema! yaani wanaamini CCM yale anayofanya magu ni manzingaombwe

vipi tuanze kuwapiga kiberiti wachaga walioko dar mwanza mbeya?
 
Nassari alisemaga wakati fulani kuashiria sera isiyo rasmi ya ukaskazini na kutaka . Just in.case ikifika hatua ya kujitenga huku mbeleni au wakipata wazo kama.hilo itakua kama vile nyerere alivyosema kuhusu Zanzibar ya wazanzibari na.wazanzibara. wachaga na ni dominant tribe na watagombana na wenzao wengine kwa umiliki wa rasilimali na fursa za uongozi wa juu. North republic itazaliwa kama south Sudan na.migogoro mapema. Baada ya hapo wachaga wenyewe wakiwamaliza maadui zao wengine ie masai, waarusha, wapate, etc etc watajikuta kua wenyewe tena siyo wamoja yaani hamna kabila linaloitwa wachaga na hapo zitachapwa Kati yao kwa wao. Wakija kushtuka kila mtu amehigawia kaeneo kake ka kukatawala kiukoo na.kiukabila na hapo ni mwisho wa northern dream ya kua taifa kama ambavyo imekuepo kwenye historia hata kabla ya uhuru.wa taifa hili kwa kupigiwa chapuo na elites wa Kilimanjaro

wachaga hawang'ang'anii kuishi kwao, wameenea tanzania nzima na wanazidi kuenea alafu maendeleo watapeleka kwao, hawatapigana sababu hawajikusanyi sehemu moja
 
wachaga hawang'ang'anii kuishi kwao, wameenea tanzania nzima na wanazidi kuenea alafu maendeleo watapeleka kwao, hawatapigana sababu hawajikusanyi sehemu moja

Hujaelewa scenario yangu wakitapakaa nchi nzima unafikiri watabaki salama huko kwenye nchi ya wenzao watanganyika waliobaki si wataonekana wabinafsi na wasaliti na hapo watapata matatizo makubwa na.jamii husika za mahala husika wanapochumia na.kupeleka kwao. In short wakijitenga wajiandae na wenzao walio mikoa mingine kurudi huko kwao.
 
Madai ya Msuya niyakweli ccm ndio wamechangia kukimaliza chama chao wenyewe rushwa imetawala kubadilisha matokeo kwa mfano jimbo la mwanga aliyeshinda ni Tadayo chakushangaza maghembe katangazwa
 
Back
Top Bottom