Wala hilo litakuwa kifo kwa watu wa Kilimanjaro na Arusha.Sababu ukiwachukua watu wote wa mikoa hiyo walioko nchi nzima na nje uwarudishe wote kule hawatoshi.Ardhi hamna wataishia kufanyiana ujambazi na kuuana hovyo .Kusambaa mikoa mingine kumesaidia sana wao KUEPUKANA NA migogoro.Serikali iliendeshe kampeni nyingi na kuwahamisha kwa makundi kutoka mikoa hiyo na kuwapeleka mikoa mingine.
Wamasai na ng`ombe zao zote walizonazo mikoa mingine uwatimue warudi kwao itakuwa kiyama kwa Arusha haitawameza.Watu wa kilimanjaro nao ukisema uwatimue kote waliko mikoa mingine warudi kwao kwenye hiyo jamhuri yao hawatoshi.Ardhi haiwezi watosha na fursa haziwezi watosha NA KUWAMBIA serikali haijafanya chochote miaka 54 Anavyosema Lowasa na Sumaye wake ni uongo na utapeli kwa wakazi wa arusha na Kilimanjaro.Hao watu ni wabaya mno mbele ya Mungu na wanadamu.Wao wenyewe walibebwa na serikali iliyopo hata viatu walikuwa hawana wakasomeshwa na kujengwa na chama na serikali iliyopo.Leo wanakenua mebno eti serikali haijafanya kitu.
Aliwayewashauri kusema CCM haijawafanyia kitu wakati ilihangaika kuwabeba wafugaji na wachaga wasio na ardhi kuwapeleka maeneo ya mikoa ya Tanga,MOROGORO NK ni kukosa shukrani Na MUNGU atawalipa kwa huo ukosefu wao wa shukrani kwa serikali wao na Lowasa na Sumaye wao anayewachochea.
Ninawalaani kwa jina la Mungu WOTE wanaosema serikali na CCM haijafanya kitu miaka yote 54.wALAANIWE WALALAPO NA WAAMUKAPO MAANA HAWANA SHUKRANI KILA WANALOGUSA LISIFANIKIWE.