real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,302
Sasa North Zone tumekamilika.. Kitakachofuata ni kupigania nchi yetu. Potelea mbali
utapigwa ban, jihadhari
Sasa North Zone tumekamilika.. Kitakachofuata ni kupigania nchi yetu. Potelea mbali
Wala hilo litakuwa kifo kwa watu wa Kilimanjaro na Arusha.Sababu ukiwachukua watu wote wa mikoa hiyo walioko nchi nzima na nje uwarudishe wote kule hawatoshi.Ardhi hamna wataishia kufanyiana ujambazi na kuuana hovyo .Kusambaa mikoa mingine kumesaidia sana wao KUEPUKANA NA migogoro.Serikali iliendeshe kampeni nyingi na kuwahamisha kwa makundi kutoka mikoa hiyo na kuwapeleka mikoa mingine.mda si mrefu tunaanzisha North empire, ngoja nijiandae kuhamie.yaani wana arusha pamoja na jitihada za magufuli kukonga nyonyo za watanzania bado wamethubuti kumchagua lema! yaani wanaamini CCM yale anayofanya magu ni manzingaombwe
Sasa North Zone tumekamilika.. Kitakachofuata ni kupigania nchi yetu. Potelea mbali
Sasa North Zone tumekamilika.. Kitakachofuata ni kupigania nchi yetu. Potelea mbali
Usijifanye hujui 70% ya maafisa waandamizi Jeshi na Polisi ni kutoka huko Kaskazini..
Wala hilo litakuwa kifo kwa watu wa Kilimanjaro na Arusha.Sababu ukiwachukua watu wote wa mikoa hiyo walioko nchi nzima na nje uwarudishe wote kule hawatoshi.Ardhi hamna wataishia kufanyiana ujambazi na kuuana hovyo .Kusambaa mikoa mingine kumesaidia sana wao KUEPUKANA NA migogoro.Serikali iliendeshe kampeni nyingi na kuwahamisha kwa makundi kutoka mikoa hiyo na kuwapeleka mikoa mingine.
Wamasai na ng`ombe zao zote walizonazo mikoa mingine uwatimue warudi kwao itakuwa kiyama kwa Arusha haitawameza.Watu wa kilimanjaro nao ukisema uwatimue kote waliko mikoa mingine warudi kwao kwenye hiyo jamhuri yao hawatoshi.Ardhi haiwezi watosha na fursa haziwezi watosha NA KUWAMBIA serikali haijafanya chochote miaka 54 na Sumaye wake.Hao watu ni wabaya mno mbele ya Mungu na wanadamu.
Aliwashauri kusema CCM haijawafanyia kitu wakati ilihangaika kuwabeba wafugaji na wachaga wasio na ardhi kuwapeleka maeneo ya mikoa ya Tanga,MOROGORO NK ni kukosa shukrani Na MUNGU atawalipa kwa huo ukosefu wao wa shukrani kwa serikali wao na Lowasa wao anayewachochea.
Kuna wasukuma Mbeya, kuna wajita Morogoro; halimradi watanzania wamakabila yote wametapakaa kila sehemu...iweje uwatarget hawa tu? Haya mambo ya kusema CCM hawajafanya lolote yanakuzwa na hata hivyo yaliyofanyika hayakufanyika kama fadhila ilikuwa ni wajibu. Ikiwa mzazi hujafanya kwa kadri ya matarajio ya watoto wako utaambiwa tu na huwezi kuzila na kuwafukuza ati wamekwambia hayo. Kila nchi tunayasikia haya na hata CCM wanayatumia hayo hayo kwa kauli wapinzani hawana chochote - wakati huo huo mnashangilia kwa kutekeleza waliyokuwa wakiyapigia kelele kwa muda mrefu!Wala hilo litakuwa kifo kwa watu wa Kilimanjaro na Arusha.Sababu ukiwachukua watu wote wa mikoa hiyo walioko nchi nzima na nje uwarudishe wote kule hawatoshi.Ardhi hamna wataishia kufanyiana ujambazi na kuuana hovyo .Kusambaa mikoa mingine kumesaidia sana wao KUEPUKANA NA migogoro.Serikali iliendeshe kampeni nyingi na kuwahamisha kwa makundi kutoka mikoa hiyo na kuwapeleka mikoa mingine.
Wamasai na ng`ombe zao zote walizonazo mikoa mingine uwatimue warudi kwao itakuwa kiyama kwa Arusha haitawameza.Watu wa kilimanjaro nao ukisema uwatimue kote waliko mikoa mingine warudi kwao kwenye hiyo jamhuri yao hawatoshi.Ardhi haiwezi watosha na fursa haziwezi watosha NA KUWAMBIA serikali haijafanya chochote miaka 54 na Sumaye wake.Hao watu ni wabaya mno mbele ya Mungu na wanadamu.
Aliwashauri kusema CCM haijawafanyia kitu wakati ilihangaika kuwabeba wafugaji na wachaga wasio na ardhi kuwapeleka maeneo ya mikoa ya Tanga,MOROGORO NK ni kukosa shukrani Na MUNGU atawalipa kwa huo ukosefu wao wa shukrani kwa serikali wao na Lowasa wao anayewachochea.
Acha kuongea mambo yasiyo na msingi. Hata ukisema uwarudishe wamasai na wachaga hutaacha kuwarudisha Wasukuma na ngombe zao ambao ndio moja ya makabila makubwa hapa nchini.
Sasa North Zone tumekamilika.. Kitakachofuata ni kupigania nchi yetu. Potelea mbali
Sasa wewe Mbwiga CCM imekufaje wakati imeshinda mafiga matatu?kilichoiua ccm ni kuendekeza kauli za kibaguzi za vijana wajinga rais hatatoka kask
Wasukuma wana shukrani na CCM na serikali yake wanashukuru na ndio maana walipigia kura CCM wakitambua ilivyowasaidia kuwatoa kule walikobanana na kuwapeleka kwingine kwenye mikoa mingine kuwapa ardhi na makazi.Ninaongelea wale wa Arusha na Kilimanjaro ambao hawana shukrani.Mungu na awalaani walalapo na waamkapo wote wanaosema serikali na CCM hawajafanya kitu miaka 54.
Ni ajabu watu waliosaidiwa hivyo kuiponda serikali.Wakati wa mkoloni wachaga na wamasi hawakuwa mikoa yote kama ilivyo sasa.Serikali iliyopo imewaachilia ikawasaidia wakapata maendeleo makubwa mikoa mingine sio kwao wakachuma hicho walichopata mikoa mingine kinawapa jeuri na kuiponda CCM na SERIKALI.mTU KAMA Lowasa na Sumaye utajiri wao wameupatia mikoa mingine leo ndi vinara wa kuponda CCM na serikali Mungu na awalaani asiwaache wakae hata siku na saa bila laana wao na wote waipondao serikali na CCM kuwa haijafanya lolote.
Uchochezi huanza kama utani hivi hivi......... then balaah 👆👆👆👆👆🙏🙏
mkuu ni gazeti la nipashe