Clearing and forwarding business in Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Clearing and forwarding business in Tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MKATA KIU, Nov 22, 2011.

 1. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Heshima kwenu brothers and sisters poleni na mihangaiko ya kila siku,,

  Naomba mnisaidie informations in details katika hiyo business in Tanzania, hivi mchakato wa kurun those firms inakuaje na
  operational costs plus profit zinakwenda vipi, sababu naona imekaa kirahisi rahisi but watu wengi wanaodili nayo wana maisha ya
  kueleweka mitaaani, je Graduates wa kisasa wakijoin patnership na kuanzisha those firms ni njia zipi zitazofanya waweze kusurvive, na initial capital zake zinarange bei gani?

  Na pia nitashukuru sana mkinisaidia na threats zake in operations na risk zote na ushindani wake ukoje na profit inapatikana vipi..:biggrin:
   
 2. Caren

  Caren JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Dont think its that easy. Kuanzisha hiyo business needs courage and stamina maana ni lazima uende shule ukapige mzigo pale chuo cha kodi na ufaulu katika ngazi ya cetificate. Its a very lucrative bussiness n i can assure you ukiiwezea utatoka kimaisha. otherwise just go to the nearest TRA office, stop a clearing agent and ask for info.
   
 3. The only

  The only JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  Bwana mdogo hiyo ni business complex kuliko unavofikiri kwanza ma imported na ma exporter ni walewale hivo soko liko closed ,kama unavojua wao hu deal na ma -customs officer ambao kuokana na na mazingira yao kuzungukwa na rushwa wao huwa wanapiga deal na ma agent wanaowajua tuu tena kwa miaka wao huwa ni targeted na PCB,Usalama kwani ukimuotea ni rahisi kukupa mamilion hivo hata kakako ni ngumu kukuunganisha,

  Aidha kuanzisha c$f compn sio mchezo ina kubidi uwe na decent office level za TRA ambayo ni lazima iwe karibu na customs station kama posta kwa dar ,ambapo kukodi office kwa mwezi si chini ya 2 mil tena wanachukua kwa mwaka, kufunga system ya Asycuda ni ghali TRA wenyewe wameshindwa gharama ya kufunga baadhi ya maeneo kama mtukula ambayo inaingiza bilions.pia kujiunga tu lazima uweke bond ya USD 100,000 ambayo unaideposit kwa TRA ambayo italinda kodi zao au itakatwa ua ukivuruga hauipati,wengi unao wajua ni mtu anamuomba mwenye kampuni aka function ambako yeye hayupo,

  USHAURI : DOGO KILIMO KWANZA NDO MKOMBOZI WAKO, KAMA MSOMI HUWEZI KUWAZA BIASHARA ZINAZOSAIDIA NCHI TAJILI KUPATA SOKO MARA KUUZA LAPTOP ,KUFUNGUA CAFE,DUKA LA NGUO (ZA KISHAROBARO) HAKIKA UNAKUA HUTOFAUTIANI NA MACHINGA WA KARIAKOO WEWE LIMA UKIFOCUS KUPANUA SHAMBA ZAKU NA HATIMAYE KUFUNGUA KIWANDA KIDOGO CHA KUSINDIKA MAZAO YAKO .
  .
   
 4. John L. Mihambo

  John L. Mihambo Verified User

  #4
  Nov 12, 2013
  Joined: Jan 26, 2013
  Messages: 499
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Hii kitu ina ukweli mkuu? Ama uliamua kumtisha jamaa asiingie kwenye biashara yako tu, hahahaa!
   
 5. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2013
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  hizo info zako si za kweli unamtisha jamaa uyo mi kuna watu nawajua ufanya hizo kazi na walianza chini tu sasa hiv wana uwezo.

  unamtisha
   
 6. John L. Mihambo

  John L. Mihambo Verified User

  #6
  Nov 12, 2013
  Joined: Jan 26, 2013
  Messages: 499
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Wakuu, msaada tafadhali kwa anayefahamu taratibu za kupata leseni ya Clearing & Forwarding Agent. Hawa jamaa wakututolea mizigo yetu wanasumbua sana bana!
   
 7. serio

  serio JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2013
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,928
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Wewe ukipata leseni hauta tusumbua kama hao wanvyo kusumbua?
   
 8. John L. Mihambo

  John L. Mihambo Verified User

  #8
  Nov 13, 2013
  Joined: Jan 26, 2013
  Messages: 499
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Hapana
   
 9. Poxino

  Poxino JF-Expert Member

  #9
  Nov 14, 2013
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  kwakweri nibiashara poa ukiwa na mtaji hata mm nasoma kozi ya freight clearing forwarding management diploma chuo cha bandari tusidanganyane kilimo chasaivi bila mtaji utakua ndio ulele uti wamgongo jembe lamkono nisawa nakuvua samaki ndania ya bakuri apo kaka kama mtaji upo piga kazi achana namaneno ya siasa
   
 10. FRANCIS DA DON

  FRANCIS DA DON JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2015
  Joined: Sep 4, 2013
  Messages: 9,469
  Likes Received: 3,984
  Trophy Points: 280
  Kazi kuvunjana moyo tu
   
 11. s

  shaurimbaya JF-Expert Member

  #11
  Nov 22, 2015
  Joined: Oct 3, 2013
  Messages: 1,950
  Likes Received: 1,643
  Trophy Points: 280
  home shoping centre na silent ocean wao wamekomba wateja wote.. vikampuni vya watu vinakufa kila siku..

  90 parcent wa importer bongo wanatumia silent ocean
   
 12. D

  Desidery JF-Expert Member

  #12
  Dec 4, 2015
  Joined: Dec 5, 2012
  Messages: 238
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  1. uwe na elimu ya taxisation
  2. uwe na bond (nyumba)
  3. uwe na uwezo wa kuajili.
  4. uwe na registered company
  5. kisha unaomba leseni customs (leseni ya clearing)
  wakati huo uwe una leseni ya biashara ya manispaa
  6. utatakiwa kufanya mtihani wa customs. (Kimjini mjini unaweza kukodi mtu akakufanyie maana huwa mgumu)
  7. ukifanikiwa kufaulu utapata leseni.
  8. Kisha utatakiwa kuajiri wataalamu wa mambo ya data kama assycuda. So lzm uwe computer ambazo ni full conected na internet
  9. issue ni kupata wateja km mmoj alivyosema.
  ma importers na exporters wanajulikana na wana maagent wao.

  Hawa ma clearing wajanja sana. Wanaiba pesa za kodi ndio wanatambia mitaani.

  Kama huamini angalieni sasa ma clearing agent sasa watakuwaje maana maboss wao sasa wanabnwa.

  Naamini hakuna mtu mwenye mbwembwe kama clearing. Utamuona anataba wakati hel alizoshika sio zake.

  Pia utapeli wa maagent hawa ndio unaowababaisha wengi.

  Ila kiufupi clearing ni nzuri kwa wafanyakazi sio kwa uongozi. Wafanyakazi hubagain kwenye malipo
   
Loading...