Clear Offside kabisa

Bado Mamelodi, vyura kazi mnayo mwezi huu.
223ebb6e37584f9cb4c9a660b226bd30.jpg
 
Sema hili Goal la 2 la Azam lilikuwa Clear Offside sijui kwanini Kibendera alikaa kimya na alikuwa palepale

Mechi ya pili mfululizo azam wanaifunga yanga goli la offside,,,,mechi ya mzunguko wa kwanza ilikuwa hivi hivi

View attachment 2937654View attachment 2937655
ndio ni clear offside,lakini ndio hivyo hata sisi yanga kuna magoli tuliwahi kupewa ambayo ni clear offside,na huo ndio mpira maana marefa ni wanadamu
 
Back
Top Bottom