Mayele apost kukumbushia yeye ni mfungaji bora

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
5,150
7,916
Katika pitapita zangu, nimekutana na post ya Fiston Mayele kwenda kwa Feisal Salum akimtakia kila la kheri baada ya kusaini kuchezea Azam.

Mayele akaambatanisha video inayoonyesha assist aliyopata kutoka kwa Feisal katika mechi dhidi ya Coastal Union.

Cha kushangaza zaidi ni kuwa goli lile alilopost lilikuwa clear offside ila lilikubalika na mwamuzi na kama kawaida yao wakatetemeka. Embu jionee mwenyewe.


 
MO aondoke atuachie timu yetu, hasipoondoka tunasusia bidhaa zake tunahamia kwenye bidhaa za Azam
sisi Azam hatuwataki, Hanspope alishawaambia msinunue bidhaa za Azam kisa Azam Fc ilisajili SINGANO limafia!
 
Hili la Saido kufunga goli 5 ili amfikie Mayele na kumpita ni upuuzi mkubwa kuwahi kutokea ktk soka letu la sasa Tanzania.
Uliangalia mechi yenyewe? Na ni upuuzi mkubwa kuliko huu ulioona katika video hii?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom