Clear data

Clear data

Link mbili tofauti wakati unaona directory moja !

moja ya steam na nyengine ya kongregate, ya steam inahusu port ya playstation na kongregate ni flash games. vitu viwili tofauti na kesi moja ya kufuta cache kumefuta save games.

wanaocheza final fantasy android pia wanalijua hili ukiwa haupo world map huwezi kusave game unategemea cache ili ukirudi tena kwenye game unaclick continue, ukifuta cache umekwenda na maji.

87-ffvi45_109.png

ndio maana unapewa vitu viwili vyenye kazi moja continue na load game.

ukitaka link zaidi ya hizo nitakutaftia zipo case kibao mtu kafuta cache na game lake linapotea alipoishia
 
Mi nimezungumzia mfano wangu pale juu wa vvvvv flash project, hao jamaa niliona tu mod anajing'ata tu pale ata sikuangalia ni game gani.

Sasa hapo ndio ujue kwamba all process ambazo zilitakiwa kukaa kwenye AppData zimekaa kwenye CacheDr.
Kama ushauri alioomba developer wako pale juu, kwÃ-mba aweke kwenye FileDr au Cache,
na wanalalamika kwasabu siyo kawaida ya app processes kuwa saved ktk Cache, lengo la devs wa hayo magemu kueka process ktk cache mi na ww hatujui, inaezekana kupunguza lagging ya game actions ndomana wameona wastore ktk cache (flash), na flash cache ni very active ndomana wanazitumia Nand!.
 
Chief post yako ya mwanzo kabisa ulikuwa sahihi kimaelezo ila tu ku clear cache hakufanyi App kuanza upya. Snipa ndio alinifumbua macho coz mwanzo nilisoma haraka haraka.
mfano uli login kwenye App let say facebook messenger uki clear cache hakukufanyi wewe badae kuja kuanza upya ku login tena.
Hiyo hali hufanywa na clear data. Hatakama hiyo App uli update uki clear data utafuta hadi zile updates.
Hivyo chakumshauri mtoa mada kama anahitaji kuwa anarudisha space inayo lika achague moja ku clear cache au ku clear data ambapo HASARA yake kutamlazimu kila mara kuingiza data upya kwa baadhi ya app ambazo zitaathiriwa na hilo tendo la ku clear data.
 
app moja haieki sheria na kila developer ana means zake za kutengeneza app. angalia hio image ya final fantasy ina means mbili za kuresume game mahala ulipoishia

-load data
-continue

why kusiwe na means moja why aeke vitu viwili kumchanganya mtumiaji? je niclick continue au load data?

kama umewahi kucheza final fantasy utaelewa hili huwezi kusave game ukiwa kwenye dungeons, city nk hadi uwe kwenye world map. hivyo kama umeishia katikati ya dungeon (hujasave sababu hupo world map) ukirudi huwezi kuload data inabidi uclick continue ambayo ni cache, continue inakuwa useless ukiwa world map na umesave game ambayo ni game data.

hivyo hapa developer wa final fantasy ametumia njia zote mbili cache na data kutokana na situation ya game lenyewe,

nimetoaa link mbili tofauti watu wakilalamika wamepoteza save file ya game sababu wamefuta cache,

kwa games ukifuta save game ni sawa na kumwambia mtu anza upya kucheza au unalirudishga game kama lilivyokuwa jipya.

kuna magame kibao yanasave kwenye cache hasa wale wanaofanya process ya kucheat kwenye game iwe ngumu sababu ukisave kwenye data ni rahisi kupata save file though mtu alioroot anaweza ku acess hadi cache
 
Back
Top Bottom