Clatous Chama ashiriki chakula cha usiku nyumbani kwa Manji,waongea mambo mazito kwa masaa 3

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,483
20,432
Mchezaji wa simba Clatous Chota Chama maarufu kama tripple C, jana alikubalii kushiriki chakula cha jioni kilichoandaliwa na Manji nyumbani kwa tajiri huyo, pamoja na waalikwa wengine Manji pia aliwakaribisha viongozi wa usajili wa klabu hiyo.
Baada ya mlo huo wa usiku Chota alibadilishana mawazo na Manji pamoja na viongozi wa usajili wa klabu ya Yanga kwa muda uliokadiriwa kufika masaa matatu au zaidi, mazungumzo hayo yalikuwa ya siri sana.
Baada ya mazungumzo na chakula hicho,Manji alimrudisha Chama nyumbani kwake .
 
Walikuwa wanamuuliza kama anajua Mo alitekwa na nani ili wao wajihami! Bwakyakyahaahhahhahh
 
Hahahah

Eti chota alibadilishana Mawazo Na Manji

Ni Sawa Na kusema Baada ya Chakula Pohamba alibadilishana Mawazo Na Alhaji Aliko Dangote badala ya kusema Baada ya Chakula Pohamba aliwasilisha Changamoto zake Kwa Alhaj Aliko Dangote
 
Mchezaji wa simba Clatous Chota Chama maarufu kama tripple C, jana alikubalii kushiriki chakula cha jioni kilichoandaliwa na Manji nyumbani kwa tajiri huyo, pamoja na waalikwa wengine Manji pia aliwakaribisha viongozi wa usajili wa klabu hiyo.
Baada ya mlo huo wa usiku Chota alibadilishana mawazo na Manji pamoja na viongozi wa usajili wa klabu ya Yanga kwa muda uliokadiriwa kufika masaa matatu au zaidi, mazungumzo hayo yalikuwa ya siri sana.
Baada ya mazungumzo na chakula hicho,Manji alimrudisha Chama nyumbani kwake .

Wakati Manji akihangaika na kupoteza muda wake na huyo ' Maestro Midfielder ' tayari Simba SC hadi jana tumeshapokea ' Offers ' tatu kutoka Liverpool FC, FC Barcelona na PSG na Uongozi wa Simba SC pamoja na ' Tajiri ' wetu Mohammed Dewji bado hawajawajibu kwakuwa kumbe hata Kocha cha Manchester United Jose Mourinho pamoja na ' Tajiri ' wa Chelsea nao wametoka kuwapiga Simu hivi punde tu wakimuhitaji huyo Mchezaji.

Endapo Simba SC itakubali ' Offers ' kutoka kwa hizo Klabu zote basi itaweza kupata Pesa ya Kujenge Viwanja kama Sita ( 6 ) vinavyofanana na huu wa Taifa, itaweza kuwalipa Mishahara ya Tsh Milioni 15 Wachezaji wake wote waliopo sasa, itanunua Ndege mbili za Kifahari, Meli yake ya Kifahari, Kujenga Klabu kubwa yenye eneo kama la Mlimani City na kuna Chenji itabaki ambayo Simba SC inaweza kuamua imkopeshe Manji ili ' afufue ' Kampuni zake nyingi ambazo sasa zimesimama na zingine tutawasaidia kuwalipia Yanga SC Mishahara ya Wachezaji wao kwa miaka miwili mfululizo na kuwasaidia kuboresha lile Bwawa lao la Samaki pale Kaunda.
 
Endapo Simba SC itakubali ' Offers ' kutoka kwa hizo Klabu zote basi itaweza kupata Pesa ya Kujenge Viwanja kama Sita ( 6 ) vinavyofanana na huu wa Taifa, itaweza kuwalipa Mishahara ya Tsh Milioni 15 Wachezaji wake wote waliopo sasa, itanunua Ndege mbii za Kifahari, Meli yake ya Kifahari, Kujenga Klabu kubwa yenye eneo kama la Mlimani City na kuna Chenji itabaki ambayo Simba SC inaweza kuamua imkopeshe Manji ili ' afufue ' Kampuni zake nyingi ambazo sasa zimesimama na zingine tutawasaidia kuwalipia Yanga SC Mishahara ya Wachezaji wao kwa miaka miwili mfululizo na kuwasaidia kuboresha lile Bwawa lao la Samaki pale Kaunda.
Hahaaaa
 
teh teh teh! realy marvelous!
 
Huyu mtu kaandika kwa uchungu mkubwa sana hizi pumba zake
 
IPP...

International Pumba Point.
 
Mchezaji wa simba Clatous Chota Chama maarufu kama tripple C, jana alikubalii kushiriki chakula cha jioni kilichoandaliwa na Manji nyumbani kwa tajiri huyo, pamoja na waalikwa wengine Manji pia aliwakaribisha viongozi wa usajili wa klabu hiyo.
Baada ya mlo huo wa usiku Chota alibadilishana mawazo na Manji pamoja na viongozi wa usajili wa klabu ya Yanga kwa muda uliokadiriwa kufika masaa matatu au zaidi, mazungumzo hayo yalikuwa ya siri sana.
Baada ya mazungumzo na chakula hicho,Manji alimrudisha Chama nyumbani kwake .
Kha!
 
  • Thanks
Reactions: CSF
Yanga hivi kwa nini mnalazimisha lazimisha sana kuhusu Manji? Jamaa kaachia ngazi na hajihusishi tena na mambo ya Yanga. Kubalini matokeo mkuu.
 
Wakati Manji akihangaika na kupoteza muda wake na huyo ' Maestro Midfielder ' tayari Simba SC hadi jana tumeshapokea ' Offers ' tatu kutoka Liverpool FC, FC Barcelona na PSG na Uongozi wa Simba SC pamoja na ' Tajiri ' wetu Mohammed Dewji bado hawajawajibu kwakuwa kumbe hata Kocha cha Manchester United Jose Mourinho pamoja na ' Tajiri ' wa Chelsea nao wametoka kuwapiga Simu hivi punde tu wakimuhitaji huyo Mchezaji.

Endapo Simba SC itakubali ' Offers ' kutoka kwa hizo Klabu zote basi itaweza kupata Pesa ya Kujenge Viwanja kama Sita ( 6 ) vinavyofanana na huu wa Taifa, itaweza kuwalipa Mishahara ya Tsh Milioni 15 Wachezaji wake wote waliopo sasa, itanunua Ndege mbili za Kifahari, Meli yake ya Kifahari, Kujenga Klabu kubwa yenye eneo kama la Mlimani City na kuna Chenji itabaki ambayo Simba SC inaweza kuamua imkopeshe Manji ili ' afufue ' Kampuni zake nyingi ambazo sasa zimesimama na zingine tutawasaidia kuwalipia Yanga SC Mishahara ya Wachezaji wao kwa miaka miwili mfululizo na kuwasaidia kuboresha lile Bwawa lao la Samaki pale Kaunda.
Hizo timu zilizoleta offers ni zile za kiafrica zilizokopi majina ya ulaya?
 
Ndani ya club mwendo wa maandazi na maji ,kwa Manji maandazi na fruto sasa uyo chama siataugua taifod
 
Watu wanashindia chai ya rangi na viazi vitamu. Nani atarisk kujiunga nayo. Kocha mpayukaji kasema hamna kusajili mpaka muwasitiri hao waliopo.
 
Back
Top Bottom