Classmate wangu anatoka na jamaa mwenye UKIMWI

Classmate wangu anatoka na jamaa mwenye UKIMWI

Au nawe unamtaka uyo dem ya wawili hayakuhusu ukimwi uko popote katika maxingira yoyote waweza upata usinyoshee watu vidole
 
Acha wivu,kama mwanamke hakutaki,tafuta wa kwako,mbona wako wengi? Anyway,kama ni kweli, mwambie huyo jamaa amueleze huyo dada, kama ni mkaidi, pitia kwenye vyombo vya dola. Si sahihi kwa mtu kuambukiza wengine kwa makusudi
 
Mchukue Rafiki yako mkapime,utamshauri kutokana na majibu yake.....
 
Mjulishe uwe na amani na umsaidie,Mwambie kwa msisitizo wakapime afya kazi ibaki kwake kufanya uamuzi...... Ila jiandae kusutwa
 
Bora umshauri akapime kwani anaweza kukutwa hana. Lakini ni ngumu kupokea majibu pia mshaur jamaa aache hyo tabia ya kuwaambukiza watu kwa makusudi kumbuka baada ya huyo kuna mwingine atamtongoz tena its so pain .
 
Mkuu, kwahyo wew ulivopima hujakutna na hyo kitu
 
Hata ukimuambia haitasaidia, it's too late tayari kashagongwa
Siio lazima ukitembeana mtu mwenye ukimwi utaupata, kitu muhimu ni kumuelewesha athari za kufanya mapenzi bila kutumia kinga na kama upo karibu nae saana mweleze wazi kuwa umesikia jamaa ameathirika baada ya hapo mwache afanye uamuzi wake mwenyewe.
Kwani mtu unaweza ishi na muathirika iwapo mtaamua kutumia kinga.
 
Back
Top Bottom