Clamping new version

Clamping new version

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,120
1421292889601.jpg
 
Ha!ha! Hii akikutana mtu mkorofi anaondoa gia anakata.
 
hawa jamaa huwa wananikera kwenye parking wanatoa macho kama google inavyo search.
 
Ha!ha! Hii akikutana mtu mkorofi anaondoa gia anakata.
Huyo mkorofi akifanya hivyo ataliharibu sana gari lake.Simple physics hapo inaonesha kwamba mzunguko wa tairi yenye mnyororo utafanya mnyororo huo kuvuta sehemu ya nyuma ya gari na kuibomoabomoa vibaya sana na kipande cha hiyo sehemu kuburuzwa chini.

Naona design hii imebuniwa kuwakomesha wajeuri na wakorofi!
 
Back
Top Bottom