Ckutegemea we mwanaume

Huyo aliependekeza hiyo ndio mmoja wa virusi wa wazi wazi hapa CC, C.T.U ndo mchafua hewa mkubwa hapa ndani, nawashangaa wanaosema wanamsikiliza maoni yake, unless hawajitambui

kwa hyo Mr. 0 unataka kuniambia aliweka sheria ili imlinde yeye na si jumuiya ya chiatchat?
Na je ilikuwaje hadi cchc ikaibariki hyo sheria? Rutta chief judge, Judgmenent seniour judge na kipipi mwendesha mashtaka, kwa mamlaka niliyojipa naamuru upelelezi ufanyike mara moja na jalada lifunguliwe
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…