BIG NO hiyo sheria imepitwa na wakati bana, mtu akifanya vibaya hapa atajwe jina lake in BIG letter, Bold, Red, Underlined! Tusipowataja watajua hakuna anayejua uchafu wao ukizingatia wengine huku ni underground(wanaharibu kimya kimya) na madhara yao ni makubwa na kwa watu wengi. Plz naomba chief judge Rutta uangalie hili
Pia naomba kamati ya inteligensia na usalama wa chit chat ikae na kumchunguza kwa angle zote C. T. U kama alikuwa na nia njema alipoleta sheria hii kandamizi ya kuficha waovu na maovu yao.
Cc: rutta chief judge wa cchc, bishanga mfadhili wa cc, Baba V mwenyekiti, gfswin mshauri, madam B, na wadau wengine(itifaki haijazingatiwa hata kidogo!)