hata mwenyewe sijui kinachoendela namuenzi CTU, hatutajani majina humu ila nimekomaje nilishaanza kuutangazia uma kwa mbwembwe
kasema sheria tusitajane majina
cjui kwa nini nilishindwa jua hili mapema ,poor me
BIG NO hiyo sheria imepitwa na wakati bana, mtu akifanya vibaya hapa atajwe jina lake in BIG letter, Bold, Red, Underlined! Tusipowataja watajua hakuna anayejua uchafu wao ukizingatia wengine huku ni underground(wanaharibu kimya kimya) na madhara yao ni makubwa na kwa watu wengi. Plz naomba chief judge Rutta uangalie hilikasema sheria tusitajane majina
Pole sana! Ndio maana namshukuru Mungu kwa kunipatia mwenza mwema!
Copy: marejesho, Arushaone, Vin Diesel
yani waja tafuta mwanaume wa kutegemea humu!!?!?!
BTW this is chict-chat. msije nitoa macho bure!