Civil War Burundi na madai ya nchi za Africa kujitoa ICC

SON OF THE LAND

JF-Expert Member
Oct 7, 2015
204
210
Madai ya baadhi ya viongozi kutaka kujito katika mahakama ya kimataifa ya ICC kwamba Afrika tunauwezo wa kujiendesha wenyewe na ku run Mambo yetu wenyewe kama walivyo dai wakina kikwete nafikiri ni upuuzi na ujinga na kwa sasa tukubali bado hakuna viongozi afrika na hatuwezi kujiongoza bado tunahitaji msaada kutoka kwa watu weupe wa kifedha na kiuongozi na hio imekua proved hivi karibuni huko burundi kam gogoro kadogo sana ambako sidhani kama kalihitaji akili kubwa sana sasa huo mgogoro mpaka umeota sugu na kuingia tena katika vita ya wenyewe kwa wenyewe but still viongozi wa afrika wamelala na especial wale wanoaongoza AFRICAN UNION(AU)

Ningeomba viongozi wa africa wa take their responsibility na watatute ule mgogoro mapema kabla hao wapinzani hawajajizatiti vya kutosha na la pili wasikubali maamuzi ya rais wa burundi kwa kukataa majeshi ya African union badala yake wayapeleke kwa lazima maana evidence zote zipo njenje watu wanachinjwa kama kuku mitaani wakimbizi wameishajaza ile kambi ya kigoma nini evidence nyingine inayohitajika kuingilia kati huo mgogolo


robert mugabe acha kulala lala, zuma, magufuli maana nyie ndio power house ya africa tuwaache nigeria wasolve matatizo yao kwanza, na hio ya kujitoa ICC nafikiri ni wakati sasa wananchi wa africa kuliamua hilo na si viongozi maana wote wanaoshabikia hilo ni wale criminals wakijua power ya hio mahakama ilivyo na nguvu na ninafikiri kwa sasa icc is the only mkombozi wa viongozi criminals wa Africa

asanteni
 
Mugabe mwenyewe ni mbinafsi km nkurunziza, Museveni hali kadhalika Kagame wote hawa ni wabinfsi, wapenda madaraka, tofauti yao ni ndogo tu, acheni tuendelee kuangaliwa na wazungu kwa kila hali, bado hatujakomaa
 
Wanakimbilia China ambaye package ya misaada yake haina kipengele cha demokrasia wala kuheshimu haki za wananchi.

Nilimuona Mugabe anaposema China ni rafiki wa kweli wakati nao ni walewale.
 
inaumiza sana sijui waafrika tumekosa nini kwa Mungu maana kila baya Afrika vita,njaa,maradhi,udikteta vyooote afrika yaani duh!? Bora walioishi kipindi cha ukoloni
 
Back
Top Bottom