Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,628
- 46,274
ANC, Chama tawala cha muda wote nchini Afrika Kusini kimeazimia kujitoa katika mahakama ya ICC sababu mojawapo ikiwa ni mahakama hiyo kutoa waranti ya kukamatwa kwa Putin, Rais wa Urusi.
Hayo yameelezwa na mwenyekiti wa chama hicho ambaye pia ni Rais wa Africa Kusini, Cyril Ramaphosa. Huu ni muendelezo wa uharibifu wa nchi hiyo kutokana na chama hicho kukumbatia uhalifu, rushwa na ufisadi.
Hata hivyo hii sio mara ya kwanza kwa ANC kusema hivyo, iliwahi kuazimia jambo kama hilo mwaka 2015.