Civil Engineering Vs Mechanical Engineering

samuel faraj

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
1,330
2,000
Wakuu habarini za asubuhi samahani kuna mdogo wangu kachaguliwa course mbili civil engineering na mechanical engineering ipi course nzuri Kati ya hizo tu confirm moja

Wazoefu ushauri wenu unahitajika

Nb:Utani na mizaha haihitajiki kwenye uzi huu
 
djzm70

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
4,079

Kachaguliwa chuo gani tuanzie hapo
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
14,621
2,000
Kachaguliwa
Mechanical engineering -Udsm
Civil Engineering -dit na Ardhi
Kwanza ningemshauri civil... Alafu lazima ajue kuna tofauti kati ya civil ya udsm na civil ya dit...

Ardhi wanatoa bachelor of science in civil engineering na dit wanatoa bachelor of engineering in civil engineering...

Kama unavyoona ziko tofauti...

Kama majina yalivyo civil ya ardhi..asilimia 40 ya mafunzo ni prac na 60 ni theory

Ya dit asilimia 60 ni prac na 40 ni theory..

Sasa kazi kwake...

Ila mwisho wa siku wote wakimaliza wataitwa mainjiania...
 
Ahsante kwa ushauri wako kaka be blessed
 
Top Bottom