Ndugu wasomaji
Tulisikia kwamba saivi city council ya dar es salaam saivi wanahitaji mwemye contena aende ofisi za city ku fanya advance malipo ya contena kuingia mjini na wakati kwa hali hii sisi wengi tunajua hizi kazi hazina uhakika kwamba contena inatoka saa ngapi au lini kwa hiyo hii ku enda kulipa kabla ni sio vizuri kwa sisi waagizaji na ningependa tushirikiane kupeleka hio changamoto kwa haraka iwezekanavyo kwa wahusika