Sijakupata vizuri. Labda ni situation gani inaweza kupelekea mtu kuwa na Nationality na Citizenship tofauti?Nationality = utaifa. Mara nyingi utaifa uko defined na geographical location/boundries, ethinic composition, shared history na culture....nk.
Citizenship = uraia. Uraia 100% uko defined na dola (state) ama nchi. Kwa maana hii dola/nchi ndio inayotambua uraia wako sio taifa.
Kwasababu nchi/dola nyingi duniani zilianzia na taifa (nation-state), ndipo mchanganyo wa maneno ya nationality na citizenship unapoingia. Lakini haya ni maneno mawili yenye dhana mbili tofauti.
Hopeful this helps
Sijakupata vizuri. Labda ni situation gani inaweza kupelekea mtu kuwa na Nationality na Citizenship tofauti?
kwa mfano kama nimepata uraia wa marekani,katika kupita pita nikakutana na form inaniulizia nationality yangu,kwahio nijaze tanzania?Nationality = utaifa. Mara nyingi utaifa uko defined na geographical location/boundries, ethinic composition, shared history na culture....nk.
Citizenship = uraia. Uraia 100% uko defined na dola (state) ama nchi. Kwa maana hii dola/nchi ndio inayotambua uraia wako sio taifa.
Kwasababu nchi/dola nyingi duniani zilianzia na taifa (nation-state), ndipo mchanganyo wa maneno ya nationality na citizenship unapoingia. Lakini haya ni maneno mawili yenye dhana mbili tofauti.
Utofauti wa nationality na citizenship unafuata mkondo wa utofauti kati ya TAIFA na NCHI (nation and state).
Hopeful this helps
Pakawa kwa kukuunga mkono, kwenye suala hili nitoe mfano mmoja hapa.Tofauti ipo kati ya citizenship na nationality. Citizenship is the country that you have legal rights to live and Nationality is the state of Origin.
Tofauti ipo kati ya citizenship na nationality. Citizenship is the country that you have legal rights to live and Nationality is the state of Origin.
Pakawa kwa kukuunga mkono, kwenye suala hili nitoe mfano mmoja hapa.
Kuna hawa ndugu, jamaa na marafiki zetu walio ondoka nchini na kuamua kuishi nchi kama Uingereza, Ireland au Canada. Uko walipo wamejipa utaifa wa Nchi zingine zenye machafuko, kama vile Somalia, Burundi nk.
Pale wanapokubaliwa kuwa wao ni wakimbizi, Vitambulisho vyao vinaonyesha: Nationality: Somali or Burundi nk. Lakini Citizenship yao ni hapo walipo.
Na hata wanapo pata Passport zinaonyesha asili ya nchi walizo dai wanatoka.
Hata kwenye zao passport mkuu.Nadhani hao hawajapewa Citizenship, wamepewa Refugee asylum ndo maana inaonyehsa hivyo ID yao.
Hata kwenye zao passport mkuu.