bantugarage
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 273
- 47
Naangalia Mada Moto...I am not happy with mtangazaji....leo mwisho wangu kuangalia hii TV.Sijui kama kuna wengine.
citizen tv inamilikiwa NA s k masharia NA mwananchi NA citizen inamilikiwa NA agakhan mwandishi anayeripoti anaitwa kendago obadia ni jamma wa kimasai kutoka kenya
Ndo mkome. Mmekazana na ki local tv chenu cha star ambacho mnajiangalia wenyewe
CCM roho zinavyowauma, wanatamani waifungie na hiyo Citizen TV ya Kenya! Wanasahau kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dr. Ally Yahaya Simba, mamlaka yake yanaishia mpakani mwa Tanzania na Kenya. Wao wawawekee kufuli TBC, Star TV na hivyo vyombo vingine, tarehe 25 Oktoba hilo kufuli tutalifungua.Wana jf
Naomba kufahamu kama Citizen tv ya Kenya inaripoti matukio ya lowasa kwenye kampeni zake na nikwanini Lowasa tu siyo Magufuli
Mbona startv inaonyesha mikutano ya magufur tuu na sio Lowasa, mbna hamuulizi mnauliza cityzen?
Lowasa ni International figure while Magufuli ni Local and primitive figure.
Kwa kushangaa si ndio zenu kama makomeo tu muda wote anashangaa yaani anashangaaa sadam Hussein kuwa Rais Wa kuwait