CIS 180bn scam: Tanzania Government to act

Wadau wenye ufahamu kuhusu hiki kituko kingine CIS, tafadhali mtujuze.

Tunataka tujiridhishe kwanza na maelezo ya kutosha ili tujue umafia unaoendelea.
 
Wadau wenye ufahamu kuhusu hiki kituko kingine CIS, tafadhali mtujuze.

Tunataka tujiridhishe kwanza na maelezo ya kutosha ili tujue umafia unaoendelea.

CIS, hii nilitaka kuigusia siku moja lakini nikasita mtindiowaubongo. Hii mzee mzima Malecela haponi. Hii ndiyo next issue baada ya EPA. Kaaazi kwelikweli
 
Twin Towers Billioni 221
CIS Billioni 199
Richmond Billioni 172
Richmond Billioni 23
Meremeta Billioni 155
EPA Billioni 133
Rada Billioni 40
Jumla Billioni 922

Wacha tubaki nyuma kimaendeleo maana mafisadi wamechota zaidi ya Shilingi Trillioni ukiweka na kashfa nyingine za ufisadi bila aibu wala woga!!! :(

Alafu majority of the money came from Tanzanian taxpayers! Lakini unakuta wananchi tunakaa kimya eti tunasubiri donor countries waje na wao wadai 'good governance' kama kwenye EPA, alafu JK atasema EPA money was not donor money! Alafu eti tutaridhika, oh, it was not donor money but actually our taxpayers money! Safiii!
Dawa hapa ni 2010 kuitoa CCM madarakani, hamna mjadala!
 
Twin Towers Billioni 221
CIS Billioni 199
Richmond Billioni 172
Richmond Billioni 23
Meremeta Billioni 155
EPA Billioni 133
Rada Billioni 40
Jumla Billioni 922


Wacha tubaki nyuma kimaendeleo maana mafisadi wamechota zaidi ya Shilingi Trillioni ukiweka na kashfa nyingine za ufisadi bila aibu wala woga!!! :(

Ahsante Mkuu BAK,...ila naomba uonyeshe kuwa hizo ni USD ($) na si madafu.

Ila katika hili itakuwa vizuri tukipata kidogo jinsi mambo yalivyokuwa na baada ya hapo akina nani walihusika. Magazeti yote toka jana yameficha majina!
 
CIS, hii nilitaka kuigusia siku moja lakini nikasita mtindiowaubongo. Hii mzee mzima Malecela haponi. Hii ndiyo next issue baada ya EPA. Kaaazi kwelikweli

Lete KITU KIZIMA mzee mzima, usilete viji-hint tu halafu unapotea. Hapa hatupo college mukulu. Tunataka tuipate background kwa kina kidogo kabla wazee wa below pars hawajaivamia hii thread kuipotezea uelekeo, kama walivyofanya kule kwenye thread ID vs Masha.

Ni hayo tu.
 
Alafu majority of the money came from Tanzanian taxpayers! Lakini unakuta wananchi tunakaa kimya eti tunasubiri donor countries waje na wao wadai 'good governance' kama kwenye EPA, alafu JK atasema EPA money was not donor money! Alafu eti tutaridhika, oh, it was not donor money but actually our taxpayers money! Safiii!
Dawa hapa ni 2010 kuitoa CCM madarakani, hamna mjadala!
Hapa suluhisho si kuing'oa SISI-M kwani hao watakaoshika wataendeleza wizi kwa kisingizio cha SISI-M.Tuwape hao hao SISI-M ila tuwabane mpaka wazirudishe pesa zote kwani wanawajua.
 
Ahsante Mkuu BAK,...ila naomba uonyeshe kuwa hizo ni USD ($) na si madafu.

Ila katika hili itakuwa vizuri tukipata kidogo jinsi mambo yalivyokuwa na baada ya hapo akina nani walihusika. Magazeti yote toka jana yameficha majina!

Mkuu Dark City, ni madafu mkuu sio Dola. Lakini hata kama ni Shilingi, ni fedha nyingi sana tumepoteza. Magazeti huwa si rahisi kutaja majina mapema ya hao Mawaziri na Wabunge, hata kama wanayajua, kuepuka kushitakiwa. Watasubiri mpaka hiyo kampuni ya kukusanya madeni itaje, ama mtu mwingine. Sisi hapa ndio tuna nafasi, kama mmoja wetu akijua majina yanawekwa hapa.
 
Ahsante Mkuu BAK,...ila naomba uonyeshe kuwa hizo ni USD ($) na si madafu.

Ila katika hili itakuwa vizuri tukipata kidogo jinsi mambo yalivyokuwa na baada ya hapo akina nani walihusika. Magazeti yote toka jana yameficha majina!

Dark City hizi ni shilingi siyo Dollar kama unataka kwa dollar basi ni sawa na $922 million.
 
Baadhi ya kampuni zilizotajwa na wakala huyo wa kukusanya madeni ni pamoja na Kiex Trading Limited inayomilikiwa na Rajab Maranda, anayetuhumiwa kuiba fedha za EPA, Dar es Salaam International School Trust Fund, Andrew Traders, K. Agencies International, Chawe Transport, Simba Resources, Shela Beach Investment na Chichi Interprises.

Nadhani hii Chichi Enterprises ni ya mtoto wa Yona anaejulikana pia kwa jina la Chichi
 
Dark City hizi ni shilingi siyo Dollar kama unataka kwa dollar basi ni sawa na $922 million.

Ndio maana yake,au kwa kuwafahamisha ukiona kwenye namba za Tz inaishia Bilioni kwa urahisi unafuta Bilioni na kuweka Milioni ili kupata kwa fedha za kimombo.
 
CIS scandal: Defiant high-profile debtors to be exposed

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

AUTHORITIES are getting set to disclose the names of at least 40 high-profile debtors, including several influential members of parliament plus past and present cabinet ministers and senior government officials, who have so far refused to pay back the hefty loans given to them under the defunct Commodity Import Support (CIS), it has been learnt.

According to Ibrahim Msolopa, executive director of an independent debt collection company commissioned by the government to recover the money, the list of those to be exposed include the spouses (wives) of some prominent local politicians and reputable business leaders.

Msolopa told THISDAY in an interview in Dar es Salaam that the exposure plan was a result of the fact that many of these high-profile debtors have not only rejected all approaches from his company's representatives, but also resorted to using particularly harsh, cruel, even insulting language on these agents.

''We will have no shame in exposing anybody. We have given them ample time to pay back the debt, but they have not shown any sign of cooperation, let alone respect. Not even a pledge of some kind,'' he said.

According to Msolopa, some of the debtors have even gone to the extent of threatening him personally to stop 'pestering' them.

He said some have paid up at least part of their debt, and others have offered promises to pay up.

''Therefore, none of these debtors will have their names exposed,'' he stated.

He said at least 254 of the total 916 companies linked to the 180bn/- CIS funds embezzlement scandal, have thus far settled their debts either through the Msolopa Investment Company special bank account, or the Tanzania Revenue Authority (TRA).

Out of the first 30 companies shortlisted for exposure and eventual indictment, 10 are understood to have started paying back their debts, whereas the remaining 20 have flatly refused.

''We are currently awaiting a response to the letter we wrote to the Ministry of Home Affairs, asking them to allocate some members of the police force to accompany us in our planned CIS debt recovery campaign,'' Msolopa said.

Msolopa Investment Company is understood to have entered into a contract with the Ministry of Finance and Economic Affairs to act as its agent in the campaign. The ministry in its turn has already authorized the agency to auction properties belonging to the defaulting companies - or drag the company owners to court for failure to repay their CIS debts.

Msolopa disclosed that since his company won the tender for the job some six months ago, an average of 300m/- has been collected monthly from the CIS debtors.

''It could take up to two years for the job to be fully completed,'' he added.

Earlier this year, Finance and Economic Affairs Minister Mustafa Mkulo revealed that the government had hired the agency to collect the remaining CIS debt, part of which is owed by government institutions thus necessitating an independent body to do the work.

Mkulo however, acknowledged that the agency was likely to have a tough time of it, noting: ''Some people are not willing to pay, while others have paid only part of their debt. Our intention as a government is to recover the whole amount.''
 
Hawa wahindi wengi hawana nia njema na nchi yetu.Unfortunately, what we do define who we are.Hapa tatizo sio ubaguzi bali kiwango chao cha wizi, dhuluma na kukosa uzalendo. Hizi story zikiwa zinatoka mara kwa mara wananchi watawaona sio wenzao na kwakweli wa kujilaumu watakuwa wao wenyewe wahindi.
 
Police asked to aid CIS debts recovery exercise: CAG`s report also highlights issue at stake

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

POLICE have been called on to help debt collectors recover at least part of the 180bn/- looted from the Commodity Import Support (CIS) fund as some of the debtors appear to have turned 'hostile,' it has been learnt.
According to the executive director of an independent debt collection company commissioned by the government to recover the CIS money, Ibrahim Msolopa, debt collectors have recently started receiving serious threats from some of the debtors.

He told THISDAY in an interview in Dar es Salaam yesterday that various prominent politicians and businessmen have resorted to threatening him and his agents to stop pestering them to repay their debts.

''We are currently waiting for a response to our letter sent to the Ministry of Home Affairs, in request of police assistance in our task,'' Msolopa said.

A number of high profile debtors are said to have been using harsh and threatening language when confronted to repay their loans.

Said Msolopa: ''We will neither fear nor favour anybody. We have given them ample time to pay back the debts, but some of them have not shown any signs of paying up.''


He said authorities have decided to postpone a plan to publicly name and shame individuals that have so far refused to honour their debts from the CIS fund.

Local businessmen, politicians, and their spouses are among the defaulters who number about 40.

It has been established that the list includes prominent local business tycoons Yusuf Manji and Rostam Aziz.


A tripartite meeting comprising senior officials from the Ministry of Finance and Economic Affairs, Tanzania Revenue Authority (TRA), and the debt collection agency hired by the government to recover the CIS funds, will now determine the next move to be taken against the bad debtors.

''The list of bad debtors will be disclosed only after holding this meeting,'' Msolopa said.

In his latest government audit report, the Controller and Auditor General (CAG), Ludovick Utuoh, cited the Commodity Import Support (CIS) funds scam among major scandals that need to be seriously addressed by relevant authorities.

He said instead of just concentrating on the Bank of Tanzania external payment arrears (EPA) account embezzlement issue, the government should broaden its anti-corruption horizons to include scandals like the CIS funds debacle.

''The government should not end up with EPA only. It needs to arrange for a review of other areas with identified weaknesses like the Commodity Import Support (CIF) Fund, in order to make sure that people do not squander public money,'' said the CAG in his report.


On the EPA scandal, whereby more than 133bn/- was looted from the key BoT forex account during 2005/06, the CAG has called for an urgent review of the status of EPA liabilities to prevent more such looting from the BoT in future.

He said there is a need for the central bank to engage a consultant to conduct the review, which he described as being �of paramount importance."

''It is our view that the BoT should speed up the process (of engaging the consultant), in order to address the weaknesses identified in the auditors' special report (by Ernst & Young),'' he added.

It is understood that the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) has long been investigating the CIS funds scandal. However, the government's anti-graft watchdog is yet to prosecute any cases related to the scam.

At least 254 of the total 916 companies linked to the CIS funds scandal are reported to have so far settled their debts.
 
Haya sasa angalieni, hivi kweli tutafika kwa mtaji huu jamani?...jumla ya 180/b zimekopeshwa na hazirudi...Hulka ya maskini kama nilivyosema, huomba kwa mikono miwili akipewa basi sii deni tena.. Atakuwa mkali na matusi makubwa wakati kisha pata..na kesho akianguka nani atakaye kuja kumuinua.. hivi bado somo la maisha yetu sisi wenyewe halijafikia mahala tuka learn kuwa mkopo au msaada ni fadhila ambayo haina kipimo cha malipo..Tunachezea hadi uchumi wa nchi kwa tamaduni za kimaskini jamani...
Ama kweli adui mkubwa wa Umaskini ni umaskini wenyewe!
 
Haya sasa angalieni, hivi kweli tutafika kwa mtaji huu jamani?...jumla ya 180/b zimekopeshwa na hazirudi...Hulka ya maskini kama nilivyosema, huomba kwa mikono miwili akipewa basi sii deni tena.. Atakuwa mkali na matusi makubwa wakati kisha pata..na kesho akianguka nani atakaye kuja kumuinua.. hivi bado somo la maisha yetu sisi wenyewe halijafikia mahala tuka learn kuwa mkopo au msaada ni fadhila ambayo haina kipimo cha malipo..Tunachezea hadi uchumi wa nchi kwa tamaduni za kimaskini jamani...
Ama kweli adui mkubwa wa Umaskini ni umaskini wenyewe!
Wana JF,

Naamini kuna mchezo mchafu hapa unachezwa.

CIS ina sura kubwa mbili:

Sura ya kwanza ni ya madeni. Kuna utaratibu kwa mujibu wa sheria zetu kufuatilia na ku "recover" madeni . Ni kwa nini Serikali yenye vyombo vyote bado inacheza na haitaki kuchukua hatua kufanya recovery ya kisheria ya Madeni hayo? Ni nani yuko juu ya sheria katika nchi? Hivyo nadhani tukubali kuwa hapa kuna mchezo. Tangu Wizara ya Mambo ya Ndani imeombwa ni muda mrefu na habari hii imeandikwa mara kadhaa.

Kama ni kweli basi Wizara ya Mambo ya Ndani inafanya nini na imechukua hatua gani? Ni kwanini basi tusidai wahusika katika Wizara hii nao pia wasijiuzulu kwa kushindwa kuwajibika. Inatakiwa Pressure kubwa toka kwa Watanzania. 180 Billion is a lot of money katika nchi ambayo inategemea wahisani kwa sehemu kubwa ya Recurrent Budget yake.

Sura ya pili ni ya Ufisadi Mkubwa katika uchukuaji wa Fedha hizi. I am on record since October November 2007 na kwa mara ya kwanza iliripotiwa katika Gazeti la "East African" kuwa kati ya makampuni 980 makampuni mengi ni Feki. Nilitoa mfano wa Kampuni ya kigogo moja ambayo peke yake ilichokua fedha kupitia makampuni feki 35. Hapa ni swala la kugushi, uwizi na ufisadi si swala la Madeni kama Serikali na Wakala wao wanavyotaka kuonyesha. Inaonekana kwa dhahiri kabisa watu wengi hawajaelewa kinachozungumziwa hapa. Ni kwa maana hii CAG anazungumzi AUdit kamili kama ilivyokuwa kwa EPA kubaini Ufisadi mkubwa ulioko katika Akaunti hii ya CIS.

Ni imani yangu tutaunganisha nguvu yetu, kwa wale ambao hawajafahamu ukweli kudai ukweli halisi ujulikane. Nashukuru kuwa ukaguzi wa CAG nao umeanza kuonyesha mwanga na kuwa watetezi wengi zaidi wa Rasilimali za Taifa watapiga kelele kutaka kujua ukweli. Ni lini kazi hii ya Ukaguzi kamili utafanyika ili ukweli ubainike kama ilivyokuwa kwa EPA.

Wana JF, Hii ndiyo hoja ya msingi siyo Madeni.
 
Back
Top Bottom