Cinema

Cinema

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781
10916692_10153005253939133_607313208718232433_o.jpg
 
Safi sana nilikua nakata hizi picha nabandika kwenye " book la picha"
 
Mmeona hiyo tarehe ya kwenye gazeti lakini?
 
Sikuwepo, na sitakijutia kuwepo enzi hizo za UJIMA, to hell with u long 4gatten guyz.
 
Mmeona hiyo tarehe ya kwenye gazeti lakini?

Hizo kumbi za sinema ziliendelea kuwepo hadi mwanzoni mwa miaka ya 90...

Mathalani pale Drive Inn (US Embassy kwa sasa) kulikuwa na ukuta mkubwa na wakati mwingine sinema zilikuwa zaoneshwa bure nyakati za usiku...

Walalahoi nyakati za usiku walikuwa wanajimwaya katika ule uwanja pembeni na nyumba za Tanesco, wengine pale ilipo Zantel sasa...
 
Back
Top Bottom