A Assasin Creed Member May 17, 2018 17 6 Jan 28, 2019 #1 Wadau tulioomba kazi huko tupeane update calls za Interview zishaanza??
mnengene JF-Expert Member Nov 21, 2011 4,220 6,503 Feb 1, 2019 #2 Hao nrc walishatuma online written test, wiki iliyopita sijui baada yahapo kama walishaita kwa stage nyingine
Hao nrc walishatuma online written test, wiki iliyopita sijui baada yahapo kama walishaita kwa stage nyingine
HAKUNAMATATA JF-Expert Member Jun 29, 2017 985 2,248 Feb 1, 2019 #3 Kuna uzi unaelezea kazi za NGO ,utafute upate a,b,c kidogo
P Pangolinr JF-Expert Member Feb 3, 2019 254 277 Feb 5, 2019 #4 mnengene said: Hao nrc walishatuma online written test, wiki iliyopita sijui baada yahapo kama walishaita kwa stage nyingine Click to expand... Hawa wapo faster,ila online test hua wanakutumia email kama umefanikiwa au haujafanikiwa
mnengene said: Hao nrc walishatuma online written test, wiki iliyopita sijui baada yahapo kama walishaita kwa stage nyingine Click to expand... Hawa wapo faster,ila online test hua wanakutumia email kama umefanikiwa au haujafanikiwa