Ukweli hautakiwi na mbuzi wachache wanaojifanya wana hatimiliki ya dunia hii. Kwa wale wapenzi wa movie na hata kama hupendi kufuatilia movies basi kwa hisani yangu nawaomba muitafute movie inayoitwa 666 AVENUE PARK. Hii ni series ambayo i mefunua mambo mengi sana yanayofanywa chini ya kapeti ya dunia hii. Tamthilia hii imepitia changamoto nyingi sana mfano mpaka sasa navyoandika hapa tamthilia hii ilishapigwa marufuku kurushwa kwenywe tv Chanel yoyote ile duniani itafuteni movie hiyo ingawa sio rahisi kuipata kwani madukani zilipotea ghafla na hakuna nyingine zilizozalishwa.ITAFUTE UONE DUNIA INAVYOENDESHWA sio mtu unamiliki nyumba saba na daladala tano ukadhani umemaliza jamani kuna PIMBI WENYEWE WANAMILIKI DUNIA NZIMA WANAIRATIBU KULINGANA NA AKILI ZAO ZINAVYOWAZA hata wewe usijidanganye kuwa akili yako unaimiliki wewe la hasha! Tulishapotezwa parefu, mimi sina kipaji cha uandishi hata hivyo nimejitahidi sana.
[HASHTAG]#the bold [/HASHTAG]
[HASHTAG]#mshana jr[/HASHTAG]